Aliko BUSH hadi leo

Aliko BUSH hadi leo

Nimemuona hapa A to Z Kisongo.......anapima net......

ahhahahah acha kutuumiza mbavu... labda atakuwa serengeti anajimegea vitalu vya wanyama naona vya dhahabu kashatosheka

Mzima lakini sister? niko Arachuga
 
Jpili atakuwa na mahojiano Clouds fm kipindi cha jahazi kuelezea maisha yake alivyosumbuana na Osama.au hujasikia tangazo?

hahaaa atakaemhoji atakuwa kibonde!!!!!

maana yule jamaa nasikia ung'eng'e ni mtihani kwake!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
UTANI MWINGI MBELE GIZA, tukishapewa mafungu ndo tunasema yuko hapa na pale, tukiibiwa ahaaaa hatukujua.
 
Back
Top Bottom