Huna majibu na conclusion ni kwamba nabishana na mtu asiye na uelewa wowote!!! It's like kubishana masuala ya Fluid Mechanics na mtoto wa Darasa la Sita kutoka Azimio Primary school!!!Enhee ilifikisha views 1 M ndani ya 48 hrs au baada ya wiki kadhaa?
