Kwa hiyo unataka wana jf tufanyeje. Hii habari wapelekee hao wahusika wenyewe.pamoja na Diamond kuwa ana ng'aa sana kwa sasa katika tasnia ya bongoflaver na kuvaa umaarufu mkubwa hasa africa ya mashariki, lakini kwa mtazamo wangu ALIKIBA ni mwanamuziki bora kuliko hata diamond, huu ni mtazamo wangu sijui wadau mnaonaje?natia shaka kama diamond anaweza kuendelea kung'ara baada ya miaka miwili kuanzia sasa
Kwa hiyo unataka wana jf tufanyeje. Hii habari wapelekee hao wahusika wenyewe.
Kwa hiyo unataka wana jf tufanyeje. Hii habari wapelekee hao wahusika wenyewe.
Mkuu mtazamo wako unaweza kuwa kweli lakini sidhani kuimba pekee ndio uanamuziki,hawa wote kazi yao kuimba tu na sioni kama kuna mmoja wao ambaye anaweza hata kupiga moja ya vyombo vya muziki.
asante kwa majibu mazuri mh.
Tumezoea kuwaita wanamuziki wakati hata muziki wenyewe hawaujui zaidi ya kuimba tu,BSS na TUSKER PROJECT FAME ni vichaka vya kutafuta pesa tuUna point lakini BSS au TUSKER PROJECT FAME huwa wanatafutwa wanamuziki au vipaji vya kuimba????!!!!!!
Kuna tofauti kati ya mwanamuziki, muimbaji,mpiga vyombo na wengineo????!!!!!