Hata uwe na kipaji kikubwa kiasi gani kama huna juhudi na nidhamu ya kazi inayoshahabiana na kipaji chako blv m sahau kutokaaa.. huwa na jaribu kumfikiria mark Zuckerberg, michael jordan, the late steve job, the late michael jackson, the late mbaraka munshehe,the late marijani na wengine wengi ambao walikua na vipaji kama wasinge tia juhudi kwenye kuvitumia vipaji vyao sidhani kama tungewajua kama tunavowajua leo... so m nadhani kiba aache kulewa na sifa juu ya sauti na kipaji cha kuimba alichonacho coz hata ndege anasauti na anajua kuimba . .. atie juhud na determination atatusua na sii kufikiri kuwa kua na kipaji ndo kila kitu, na hata fans zake lazima wajue hii kitu