[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti inama chuma mboga nikusweke, Mkuu you made my night.Wapenda matusi na nyimbo zenye hamasa ya ngono, sijui zile inama chuma mboga nikusweke nk nk .. Hii kwao kama wamepigiwa kelele tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti inama chuma mboga nikusweke, Mkuu you made my night.
Hawa jamaa kweli wanatembelea nyota ya Chibu D,wik mbili zilizopita mond wakat yupo France akasema akirud bongo anaachia ngoma,jamaa na wao mbio mbio wakaachia wimbo,juzi mond kasema akirudi Korea anaachia kitu,jana Kiba kakurupuka na hili liwimbo teh teh teh teh.....uzuri siku hiz team mond huwa wanausoma mchezo hawawapi kiki hawa Vibakuli
Allow me to introduce to you MBIO ngoma ambayo niliandika miaka 10 iliyopita nilipokwenda Oman [emoji1190] kwa mara ya kwanza, miaka 10 baadae niliporudi Oman kwa ajili ya concert yangu kubwa at Intercontinental Hotel, I got inspired to finalise the song na kushoot Music Video in Muscat.
Hawa jamaa kweli wanatembelea nyota ya Chibu D,wik mbili zilizopita mond wakat yupo France akasema akirud bongo anaachia ngoma,jamaa na wao mbio mbio wakaachia wimbo,juzi mond kasema akirudi Korea anaachia kitu,jana Kiba kakurupuka na hili liwimbo teh teh teh teh.....uzuri siku hiz team mond huwa wanausoma mchezo hawawapi kiki hawa Vibakuli
Milembe inakuhusu si bureHawa jamaa kweli wanatembelea nyota ya Chibu D,wik mbili zilizopita mond wakat yupo France akasema akirud bongo anaachia ngoma,jamaa na wao mbio mbio wakaachia wimbo,juzi mond kasema akirudi Korea anaachia kitu,jana Kiba kakurupuka na hili liwimbo teh teh teh teh.....uzuri siku hiz team mond huwa wanausoma mchezo hawawapi kiki hawa Vibakuli
Umenena vyemaWapenda matusi na nyimbo zenye hamasa ya ngono, sijui zile inama chuma mboga nikusweke nk nk .. Hii kwao kama wamepigiwa kelele tuu
Fact!Wow! Moyo unaenda Mbioooo,
Sauti classic,
Mashairi classic,
Video classic,
Video vixen yupo mwaah!
King Kiba hajawahi kukosea ila kwa wapenda vigodoro hawataelewa.