Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,493
- 7,417
Soma headingNani kasema wimbo ni wa alikiba??
Soma headingNani kasema wimbo ni wa alikiba??
Soma headingNani kasema wimbo ni wa alikiba??
We wawapi? Jamaa ni mkali wa club bangers sijapata ona wa kumzidi AfricaHana umaarufu hajulikani
wa hapa hapaWe wawapi? Jamaa ni mkali wa club bangers sijapata ona wa kumzidi Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
nimechagua nisisikilize nyimbo za ali kiba
kwasababu anaimba na wasanii wa hovyo hovyo






Nyimbo mpya kabisa alikiba akishirikiana Timaya msanii kutoka Nigeria
To be honest alikiba anajua jamani, ngoja nikuache usikilize mwenyewe kwenye link hapo chini.
Sent using Jamii Forums mobile app
soma heading vizuri acha kukurupuka!. wimbo ni collabo sasa wapi imeandikwa ni ya alikiba??Soma heading
mkuu bum bum na dance za timaya unazionaje? achana hao watu wenye chuki zisizo na sababu.We wawapi? Jamaa ni mkali wa club bangers sijapata ona wa kumzidi Africa
Sent using Jamii Forums mobile app