Aiii mwali wanguuu, cheketua
Wewe ndio tunu yangu, cheketua
Mbeba siri zangu, cheketua
Mwenye tamu yangu, cheketua
Aiii mamaaa, cheketua
Tumetoka far away, cheketua
Waache waongee, cheketua
Maneno yao sijali, cheketua
Nabarikiwa na hii ngoma mpya ya Barnaba na Ali kiba.....ni hatari sana hii cheketua