Alikiba alivyovutia mashabiki kwenye uzinduzi wa filamu ya Marekani, South Africa

Ulifikiri kwa kuwa ni Tour dunia nzima basi kila siku atakuwa anafanya show?!
Nyie ndio mnampoteza huyo msanii wenu kwa kumshauri ujinga, sasa katika hiyo video kuna kipi kipya cha kustaajabisha maana hata mimi sio celebrity ila kilichofanyika hapo naweza kufanya.
 
Nenda kafanye alafu ulete video tuone.

Vitendo dhidi ya maneno.
 
Back
Top Bottom