Alikiba Akubali ushauri wa Shabiki

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
643
845
Naweza kusema kwamba huu ni ukomavu kimziki kwa Alikiba baada ya kuona post hii huko instagramuni.

Kinachotakiwa sasa ni sisi mashabiki kuendelea kumpigia kura Diamond ili tuzo irudi nyumbani na tuachane na ushabiki maandazi kwa maana kama huyo wizkid akipata hiyo tuzo sidhani kama atawashukuru nyie watz.

Si mnakumbuka ile ya Davido tulivyoshinda alisema tumecheat.?

InShot_20160526_215055.jpg
 
Kheee kheeee.......kusema Asante kwa ushauri sio lazima kukubali......

Kiba hawezi kubali unless aache uswahili wa kariakoo na zile Tabia za kina wema team majungu
 
Kwani Lini Diamond kamsupport Kiba? Au Kiba pekee ndio anatakiwa aoneshe one love
 
wau wengine mnakosa sijui muda wa kutulia kufikiri...sa hayo si ya nbox yani watu wawili...au unatakaumforce kiba kwanjia fulani ampigie debe online.....piga kazi kuwa logical....
 
Back
Top Bottom