Kwa dodoma 25,000 ni nyingi sana ukizingatia waendaji wengi na wana chuo na boom hawana kipindi hiki ndo maana waandaaji wakaona hasara kumlipa kibaHivi hanaga menejimenti ...... Halafu iko kiingilio wamekosea au ndio usahihi wenyewe 25,000 ......???
Najua....ila ilikua visingizio mara sijui ajalipwa hela yote.....ila na watu walikua wachache.Show ya alikiba jana haikufanyika dodoma baada ya kugoma
Mbona huyu tunamjua n wa upande wa pili anataka kutuamnisha kuwa watu walkuwa wachache kua ali hapendwi na mashabik wake?Kwa mujibu wa shabiki nguli wa alikiba ,jana aligoma kufanya show dodoma katika clab ya perugina baada ya kutomaliziwa malipo yake
View attachment 450546
View attachment 450548
View attachment 450550
Iwe habari sahihi au si sahihi,lakini wewe unaonaje "kwa hadhi" mnayompa ya "king" ku perfom kwenye ukumbi unaochukua watu 100 iko sawa hiyo ???Huyu Milly hua ni muongo habari zake hua siziamini kabisa mliopo dom mtupe habari kamili
Hebu tuwekee wewe habari sahihi .....??Mbona huyu tunamjua n wa upande wa pili anataka kutuamnisha kuwa watu walkuwa wachache kua ali hapendwi na mashabik wake?
Sasa ushabiki wako huo utawezaje kujua kwamba Alikiba ana show Dodoma?Kiba fans ....nimejulia hapa kuwa kiba alikuwa na show dom....na hii yote no kwa sababu haters wa mond badala wampost kiba wanampost platnum huku wakiweka caption za matusi na wanadhani wanamkomoa mond bt ndio hvyo iringa mond kapindua....nawanasema wataenda mikoa 10 km fiesta yaani
Nyie ndiyo mashabiki uchwara.....jana hakukua na show dodoma??? Uliza uambiwe!!Jana hakukua na show dodoma acha umbea wa kitoto