Alijua amemkomoa

Alijua amemkomoa

Wanaume wengi ni wanafiki sana! Hapa wanaona kumnyima mama mtoto ni sawa maana kamtelekeza mtoto. Ila wao hutelekeza mimba na bado hutaka kumuona mtoto kirahisi
Siyo wanafiki,hoja ya msingi hapa nadhan ni kwa mwanaume kuachiwa mtoto wa mwaka mmoja na kumlea pekee yake huku akiendelea na shughuli zake na mtoto amekua bila ya wasiwasi.
Wanaume wengi huwapeleka kwa ndugu zao wengine ila huyu kaonesha ujasiri wa hali ya juu ya kuthamini damu yake

Unajua mim naweza kukataa mimba lakin nikalea mtoto kwa kutoa matumizi.

Huyu mama wa mtoto obviously alienda kwa mwanaume mwingine pengine hata huko aliolewa sasa jamaa kumuelewa itakuwa ngumu sana,unajua sis wanaume huwa hatupend vitanda vyetu vilaliwe na watu wengine .

Hongera yake jamaa!

Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app
 
Jamaaa alikosea angemnasa huyo bint vibao vya
Maana dadek atavuna alichopanda

[Color= yellow]Triple A[/color]
Kweli kabisa, hata mimi nasapoti hili.

Amedanga huko, ndio, anakumbuka kama akibeba mimba miezi tisa.
Mxiuuuuu
 
Kweli kabisa, hata mimi nasapoti hili.

Amedanga huko, ndio, anakumbuka kama akibeba mimba miezi tisa.
Mxiuuuuu
Yan kuna binadam wengne
Akili zao znawatuma tu bila
Kufkiria miaka yote hyo alikua
Wap now ameskia mtt n mkubwa
Et ndo anataka kumuona

Aisee!! Kama mwanaume mwenzang
Amemtelekeza mwanae kwa mamaake
Na kukimbia af anasubr mtt amekua

Et ndo anataka kwenda kumuona
Me nashsur asulubiwe tu kipigo
Kitakatifu zaid ya kile alichopokea
Mwana wa mungu yesu kristo

Skuzote tunaambiwa fikir kabla
Ya kutenda

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Safi sana,,

Jamaa yupo vizuri sana,,,
kiasi cha kutelekezewa mtoto na kuendeleza kupiga hustle za maisha si wa kisport sport,,
salute

Mbona wanawake wanatelekezwa na watoto yaani familia nzima na bado wanatoboa!?

Ugumu uliouona kwa man kutoboa ni mara 100 ya ugumu ambao mwanamke anaupata pale hiyo issue inapomtokea.

Kwa hiyo, sisi wanaume tusijiangalie upande wetu wenyewe. Kwa ujumla kwa Mzazi mmoja ni ngumu sana kulea mtoto/watoto
 
Siyo wanafiki,hoja ya msingi hapa nadhan ni kwa mwanaume kuachiwa mtoto wa mwaka mmoja na kumlea pekee yake huku akiendelea na shughuli zake na mtoto amekua bila ya wasiwasi.
Wanaume wengi huwapeleka kwa ndugu zao wengine ila huyu kaonesha ujasiri wa hali ya juu ya kuthamini damu yake

Unajua mim naweza kukataa mimba lakin nikalea mtoto kwa kutoa matumizi.

Huyu mama wa mtoto obviously alienda kwa mwanaume mwingine pengine hata huko aliolewa sasa jamaa kumuelewa itakuwa ngumu sana,unajua sis wanaume huwa hatupend vitanda vyetu vilaliwe na watu wengine .

Hongera yake jamaa!

Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app
Nyeupe kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom