Aliingia Kwa Mtandao; Anataka Kurudi Kijeshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliingia Kwa Mtandao; Anataka Kurudi Kijeshi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ng'wanangwa, Oct 9, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nikizitafakari mbinu za kusaka madaraka za Bwana JK.

  Zimejaa ubabe wa kutaka kulazimisha mambo kwa gharama yoyote, ili mradi yeye awe salama, wengine waumie.

  Aliingia kwa nguvu ya Wanamtandao; Mtandao ameusambaratisha. Anafanya kampeni kwa nguvu ya familia, majini na kiburi.

  Sasa anataka kurudi kwa style ya hatari zaidi: Kwa nguvu ya Jeshi. Hii ni hatari. Wanajeshi hawaaminiki. Huyu jamaa atatufikisha mahali nchi yetu ianze kutawaliwa kijeshi. Hapo tena hatutaitwa kisiwa cha amani.

  Tukumbuke katika kipindi chote cha miaka mitano ya urais wake ameharibu zaidi kuliko kujenga.

  Tumfanyeje??
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Hata ujeshi wake wenyewe ni wa kuchakachuliwa!
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Oct 9, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Sheikh Yahya, mlinzi wake Mkuu, yuko hoi kiafya, sasa unategemea nini?
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Amelazwa wapi? Gharama za matibabu analipa nani?
   
 5. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Tumpe hukumu ya haki tarehe 31/10/2010 kupitia sanduku la kupigia kura na tuzilinde hadi matokeo yametanganzwa!
   
 6. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Umetumwa nini?!
   
Loading...