ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,115
- 49,838
Kwa miaka Mingi Wakandarasi wa ndani Wameshindwa kukua na kuweza kushindana na wakandarasi wa kigeni kutokana na ukata wa Fedha.
Aidha utaratibu wa malipo ilipelekea wengi kuwa na Madeni makubwa ya Riba yaliyopelekea kufilisika na kuuza Mali zao licha ya ukweli kwamba wako kwenye sekta ya ujenzi ambayo inatakiwa Kuzalisha Mabilionea na walipakodi.
Serikali ya Rais Samia inaenda kubadilisha historia hiyo ya maumivu Kwa kuunda "Samia Bond" ambayo itakuwa ni dhamana itakayowawezesha Wakandarasi kuwa na uhakika wa pesa ya kufanya kazi Kwa haraka na kupata malipo fasta Kupitia Watoa Fedha huku Mabenki au taasisi za Fedha zikiendelea kulipwa Kwa njia ya bonds na Serikali mdogo mdogo.
View: https://www.instagram.com/p/C2fFZzJNoWV/?igsh=MW0yYjUwemk4M2tsZA==
My Take
Isipokuwa Tajiri awamu hii ya Rais Samia basi hautakuja kuwa Tajiri tena maana Marais wenye akili Huwa hawapatika I mara Kwa mara.
View: https://www.instagram.com/reel/C2e7Qq5ODKG/?igsh=ZXVxZTIzdGI4NWZ3
Pia Soma hapa 👇👇

Kupitia maono ya Rais Samia kuwabeba Wakandarasi wazawa nayaona Mapinduzi ya Uchumi ya Tanzania kupitia sekta ya ujenzi
Rais Samia ameamua Kuwabeba Wakandarasi wazawa mabegani mwake Ili kuwafanya matajiri ambao watakuwa injinia ya uchumi Nchini. Hayo yamebainishwa na Waziri Bashungwa wakati wa kikao cha Mashauriano cha kutatua changamoto za Wakandarasi wa ndani. Katika kufanikisha azma hiyo ameamua kufanya...
www.jamiiforums.com