Allah is sufficient
Member
- Mar 21, 2024
- 16
- 10
Habari zenu wanaJF. Nilikuwa nauliza kuhusu Aliexpress mwenye ujuzi nao tafadhali atuthibitishie. Jana nilipata kutextiwa whatsapp kwa namba ngeni akijitamvulisha kuwa ni mfanyakazi wa Ali Expresss Tanzania, basi nikamsililiza akanambia alinipa task kuwa atanipatia link then bidhaa nitakayoiona niscreenshot nimtumie. Nikafanya hivyo.
Baada ya hapo akanipa referral code na link amboyo nimtumie receptionist wao nikafanya hvyo. Receptionist akanipokea akanambia nijiunge na magroup yao mawili kwa link aliyonitumia nikafanya hvyo, aisha akanambia task yangu imeisha akanitumia 1500 kwa wallet yangu.
Akasisitiza ĺeo asubuh saa nne nimtext anipe login bonus 1000Tsh nami nikachangamkia fursa kweli nikapewa 1000.
Baada ya hapo akwa ananipa task kazi tu ni kuview bidhaa na kuadd to the cart kisha unamtumia screenshot. Klnikafanya hvyo kama task tatu sasa imebaki task moja ili anilipe 4000 aan task moja 1000 akaniambia nitume kwanza 15k ili nipewe task no 4.
Sasa najiuliza how comes wanipee 2500 then niwatumie 15k ili wanitumie 21k is this possible wanajamvi?