Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,325
- 9,532
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hadithi nzuri sana mkuu[emoji120] nasubr mwendelezo.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hadithi nzuri sana mkuu[emoji120] nasubr mwendelezo.
Mkuu kuna mda unafika inabidi hiz hadithi za kusadikika za vitabu ya dini na nyingne uzichukulie poa tu .[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]sasa mkuu unaamini haupo uko wapi??Mkuu kuna mda unafika inabidi hiz hadithi za kusadikika za vitabu ya dini na nyingne uzichukulie poa tu .
Mimi saivi naamni tu ugali ,tena mpaka ufike mezani na nianze kula .
Kuna mda mpka mimi siamini kama nipo.
Inawezekana nilishakufa zamni hizi ni illusion tu za memory yangu.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]sasa mkuu unaamini haupo uko wapi??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inawezekana nilishakufa zamni hizi ni illusion tu za memory yangu.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]