Alieandika hapa ni nan??

Alieandika hapa ni nan??

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
altAk2xPoEUXh5A9-sUiUMGjkyl1v0HhFjNumtjKt6gK9hR.jpg
 
10% zingine ni aibu tu...ndiyo nini sasa! Hawa ipo siku watasimika bango la matusi bila kujua. Kweli Tanzania is a union of Tanganyika and Zimbabwe...
 
Duh. Huyu contractor/supervisor hayupo makini. Yaani kashindwa kulikagua hili bango. Ye kalisimika tu km alivyoletewa na artist..
 
10% zingine ni aibu tu...ndiyo nini sasa! Hawa ipo siku watasimika bango la matusi bila kujua. Kweli Tanzania is a union of Tanganyika and Zimbabwe...

Au anajua wanaosoma hawajui?
 
Popote panapofanyika ujenzi lazima hilo tangazo la ukimwi liwepo... Niamri ya wizara ama wajenzi wengi ni waathirika...? Back to topic kila kitu wanachakachua hawa gharama halisi ambazo zinazo takiwa zielekezwe kwenye mradi wanazipunguza matokeo yake barabara mbovu usishangae hata hicho kibao alitakiwa alipwe mtu kukiandika lakini wakakichakachua
 
Na alieliweka hapo ni robot pia?

Aliyeweka tuta assume hajui kusoma wala kuandika...na wakaguzi tuta assume kuwa hawasomi hayo mabango hata kama yana matusi. What a generation of 'Tanganyika and Zimbabwe'. Very interesting...
 
Duh. Huyu contractor/supervisor hayupo makini. Yaani kashindwa kulikagua hili bango. Ye kalisimika tu km alivyoletewa na artist..
Siku hizi kuna div five. Huenda ailipewa kazi ya kuandika Kisha boss hakulisoma akiamini ni msomi kumbe loh shame.
 
Siku hizi kuna div five. Huenda ailipewa kazi ya kuandika Kisha boss hakulisoma akiamini ni msomi kumbe loh shame.

Sasa najiuliza na huyo aliyempa Artist hayo maandishi yanayotakiwa kuandikwa alimpa kama yalivyo au lah! Artist hawezi jiandikia tu hayo yote. Lazima ali copy na ku paste. Duh!
 
Aliyeweka tuta assume hajui kusoma wala kuandika...na wakaguzi tuta assume kuwa hawasomi hayo mabango hata kama yana matusi. What a generation of 'Tanganyika and Zimbabwe'. Very interesting...

Au wakati anaweka hakusoma.

Aliweka akaondoka
 
Alieandika siku hiyo alikuwa pombe,na waliolisimika walikuwa pombe,kwenye kazi za ujenzi hasa wa barabara kuanzia ma engineer mpaka vibarua wengi wao ni walevi kupindukia ,na hii ni ishara moja wapo
 
Back
Top Bottom