Aliealika wazee wa DSM kukiona cha moto.

Historia ya Diamond Jubilee na Rais wa Tanzania inaharibiwa sasa.

Nyerere katangaza vita pale dhidi ya nduli Idi Amin, akasema "nia tunayo, uwezo tunao..."

Siku hizi rais akitaka kukohoa anaita wazee wa Dar anaenda Diamond kukohoa.

Ameona kuivunjia hadhi Ikulu na taasisi ya Urais haitoshi , wacha akautie najisi na ukumbi wa DJ.
 
Ndugu wanaJF hii ni taarifa kuwa, mtu aliekabidhiwa jukumu la kukusanya wazee Wa Dar es salaam ili kwenda kujaza ukumbi Wa Diamond Jubilee kumsikiliza Rais akihutubua amewekwa kikaangoni na kibarua change kipo kikaangoni.

Habari zilizopo mezani ni kuwa mzee ametaka Mara moja kujua ni nani alieleta watu wale maana si wazee wa DSM ambao mzee amewazoea wa kupiga vigelegele na Makofi. Habari za kuaminika ni kuwa aliepewa jukumu la kukusanya wazee aliingizwa town baada ya kutoa tenda kwa vijana wa chuo cha mwalimu nyerere Kigamboni, bahati mbaya wakaleta wazee toka Mji mwema ambayo ni Kambi ya UKAWa. Kilichotokea ukumbini Leo hii ni tofauti-na ilivyozoeleka maana wazee walikuwa active muda wote na bila kushangilia kila asemalo mzee.

Kibaya zaidi ni pale walipomfanya mzee abadili msimamo kwa kuona upepo umechange ukumbini ikabidi mzee apate kigugumizi ghafla na kujikuta akimmwaga pasipo kupanga mama Tibaijuka.

Kitendo walicho kifanya wazee kwa kumkazia macho na miguno ya hapa na pale huenda jiji la DSM likapoteza tena nafasi ya wazee kuongea na Raids, tayari kuna fununu kuwa mikutano mingine yote mzee ataongea na wazee Wa Dodoma tu.

Uzee mwisho chalinze,dsm kila mtu baby.dsm hakuna wazee.ila ki ukweli wazee wa leo kidogo wameonesha kujitambua mpaka baba riz akawa anajiumauma na kujichekeshachekesha pasipo mpango wowote
 
Mleta mada, hebu fafanua vizuri. NIlichoona ni kwamba hotuba yote ilikuwa imeandikwa na JK alikuwa anaongezea vipande vichache tu.

Sasa kugeuza upepo ukumbini una maana gani wakati ilishaandikwa?

Mjomba wa Taifa
 
Not too fast Mkuu, hii ngoma bado sana kufikia tamati. Kikwete yuko tayari kuendelea kuwatetea wezi wenzie na wahuni huku akiiweka nchi rehani kwa kukosa msaada wa $1 billion toka kwa nchi za wafadhili? Kuna maswali mengi ambayo hayana majibu lazima ashinikizwe huyu DHAIFU ili ajibu kila swali badala ya kujichimbia Ikulu.

Ndo hvyo, bilion 321 zimeshaondoka na rais ameidhinisha
 
Inteligencia ya CDM imefanya kazi nzuri sana. ukisikiliza kwa umakini ile hotuba ni dhahiri ilipanga kuwasafisha Tibaijuka na Mhongo. upepo ulivyobadilika ghafla akachenji hata kumweka kiporo mhongo ni lugha ya danganya toto lkn alipanga kumsafisha. ok ngoja tuone hatua atakazomchukulia. yangu masikio.....

Hakuna jipya kwa le prof Muhongo muongo, Vyombo vya uchunguzi vyote vilieleza bayana kuwa Pro. Muhongo pasipo shaka hata hakutaka kujihusisha kujua uhalali wa PAP kumiliki IPTL kwa maana ya doc, ameelezwa kwa maneno na bwana sethi wa PAP inayomiliki IPTL fasta karuhusu mapesa yatoke!

Kwa kifupi maamuzi ya Prof. Muhongo yatatoka kulingana na upepo hasa msimamo wa wafadhili maana sisi wananchi ndo tushafanywa maboya!!!
 
Td inasumbua hadi ya kuambiwa hachanganyi na ya kwake
 
Ndugu wanaJF hii ni taarifa kuwa, mtu aliekabidhiwa jukumu la kukusanya wazee Wa Dar es salaam ili kwenda kujaza ukumbi Wa Diamond Jubilee kumsikiliza Rais akihutubua amewekwa kikaangoni na kibarua change kipo kikaangoni.

Habari zilizopo mezani ni kuwa mzee ametaka Mara moja kujua ni nani alieleta watu wale maana si wazee wa DSM ambao mzee amewazoea wa kupiga vigelegele na Makofi. Habari za kuaminika ni kuwa aliepewa jukumu la kukusanya wazee aliingizwa town baada ya kutoa tenda kwa vijana wa chuo cha mwalimu nyerere Kigamboni, bahati mbaya wakaleta wazee toka Mji mwema ambayo ni Kambi ya UKAWa. Kilichotokea ukumbini Leo hii ni tofauti-na ilivyozoeleka maana wazee walikuwa active muda wote na bila kushangilia kila asemalo mzee.

Kibaya zaidi ni pale walipomfanya mzee abadili msimamo kwa kuona upepo umechange ukumbini ikabidi mzee apate kigugumizi ghafla na kujikuta akimmwaga pasipo kupanga mama Tibaijuka.

Kitendo walicho kifanya wazee kwa kumkazia macho na miguno ya hapa na pale huenda jiji la DSM likapoteza tena nafasi ya wazee kuongea na Raids, tayari kuna fununu kuwa mikutano mingine yote mzee ataongea na wazee Wa Dodoma tu.

Wazee wa leo ilikuwa ni hip hop nyeusi JK alikuwa anajichekesha kama bikira jamaa zimepiga ndita, alivyoona crown hai-move hakuna weipa wala vigelegele akatoka na kibonzo cha tibaijuka na kiporo cha muhongo alifanikiwa kuwaamsha wanawake wachache wakiongozwa na Mshama na Kisanji.
 
Ndugu wanaJF hii ni taarifa kuwa, mtu aliekabidhiwa jukumu la kukusanya wazee Wa Dar es salaam ili kwenda kujaza ukumbi Wa Diamond Jubilee kumsikiliza Rais akihutubua amewekwa kikaangoni na kibarua change kipo kikaangoni.

Habari zilizopo mezani ni kuwa mzee ametaka Mara moja kujua ni nani alieleta watu wale maana si wazee wa DSM ambao mzee amewazoea wa kupiga vigelegele na Makofi. Habari za kuaminika ni kuwa aliepewa jukumu la kukusanya wazee aliingizwa town baada ya kutoa tenda kwa vijana wa chuo cha mwalimu nyerere Kigamboni, bahati mbaya wakaleta wazee toka Mji mwema ambayo ni Kambi ya UKAWa. Kilichotokea ukumbini Leo hii ni tofauti-na ilivyozoeleka maana wazee walikuwa active muda wote na bila kushangilia kila asemalo mzee.

Kibaya zaidi ni pale walipomfanya mzee abadili msimamo kwa kuona upepo umechange ukumbini ikabidi mzee apate kigugumizi ghafla na kujikuta akimmwaga pasipo kupanga mama Tibaijuka.

Kitendo walicho kifanya wazee kwa kumkazia macho na miguno ya hapa na pale huenda jiji la DSM likapoteza tena nafasi ya wazee kuongea na Raids
, tayari kuna fununu kuwa mikutano mingine yote mzee ataongea na wazee Wa Dodoma tu.

Wacha kuwasingizia wazee wa Idodomia ataongea na wazee wa Bwagamoyo khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahahah lol!!!! Machale yameshamcheza sasa atakuwa anaomba Wazee wakwere wenzie tu labda hawa hawatamzodoa mbele ya kadamnasi.

Back
Top Bottom