Aliealika wazee wa DSM kukiona cha moto.

Mjomba wa taifa

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
231
Reaction score
161
Ndugu wanaJF hii ni taarifa kuwa, mtu aliekabidhiwa jukumu la kukusanya wazee Wa Dar es salaam ili kwenda kujaza ukumbi Wa Diamond Jubilee kumsikiliza Rais akihutubua amewekwa kikaangoni na kibarua change kipo kikaangoni.

Habari zilizopo mezani ni kuwa mzee ametaka Mara moja kujua ni nani alieleta watu wale maana si wazee wa DSM ambao mzee amewazoea wa kupiga vigelegele na Makofi. Habari za kuaminika ni kuwa aliepewa jukumu la kukusanya wazee aliingizwa town baada ya kutoa tenda kwa vijana wa chuo cha mwalimu nyerere Kigamboni, bahati mbaya wakaleta wazee toka Mji mwema ambayo ni Kambi ya UKAWa. Kilichotokea ukumbini Leo hii ni tofauti-na ilivyozoeleka maana wazee walikuwa active muda wote na bila kushangilia kila asemalo mzee.

Kibaya zaidi ni pale walipomfanya mzee abadili msimamo kwa kuona upepo umechange ukumbini ikabidi mzee apate kigugumizi ghafla na kujikuta akimmwaga pasipo kupanga mama Tibaijuka.

Kitendo walicho kifanya wazee kwa kumkazia macho na miguno ya hapa na pale huenda jiji la DSM likapoteza tena nafasi ya wazee kuongea na Raids, tayari kuna fununu kuwa mikutano mingine yote mzee ataongea na wazee Wa Dodoma tu.
 
Kulikuwa hamna haja hata ya kuita wazee, kwa hotoba ile angeisoma pale Ikulu akiwa na waandishi wa habari.
 
Inteligencia ya CDM imefanya kazi nzuri sana. ukisikiliza kwa umakini ile hotuba ni dhahiri ilipanga kuwasafisha Tibaijuka na Mhongo. upepo ulivyobadilika ghafla akachenji hata kumweka kiporo mhongo ni lugha ya danganya toto lkn alipanga kumsafisha. ok ngoja tuone hatua atakazomchukulia. yangu masikio.....
 
Ndo hvyo, bilion 321 zimeshaondoka na rais ameidhinisha
 
Ndugu wanaJF hii ni taarifa kuwa, mtu aliekabidhiwa jukumu la kukusanya wazee Wa Dar es salaam ili kwenda kujaza ukumbi Wa Diamond Jubilee kumsikiliza Rais akihutubua amewekwa kikaangoni na kibarua change kipo kikaangoni.

Habari zilizopo mezani ni kuwa mzee ametaka Mara moja kujua ni nani alieleta watu wale maana si wazee wa DSM ambao mzee amewazoea wa kupiga vigelegele na Makofi. Habari za kuaminika ni kuwa aliepewa jukumu la kukusanya wazee aliingizwa town baada ya kutoa tenda kwa vijana wa chuo cha mwalimu nyerere Kigamboni, bahati mbaya wakaleta wazee toka Mji mwema ambayo ni Kambi ya UKAWa. Kilichotokea ukumbini Leo hii ni tofauti-na ilivyozoeleka maana wazee walikuwa active muda wote na bila kushangilia kila asemalo mzee.

Kibaya zaidi ni pale walipomfanya mzee abadili msimamo kwa kuona upepo umechange ukumbini ikabidi mzee apate kigugumizi ghafla na kujikuta akimmwaga pasipo kupanga mama Tibaijuka.

Kitendo walicho kifanya wazee kwa kumkazia macho na miguno ya hapa na pale huenda jiji la DSM likapoteza tena nafasi ya wazee kuongea na Raids, tayari kuna fununu kuwa mikutano mingine yote mzee ataongea na wazee Wa Dodoma tu.

Mkuu wa Mkoa ni mtu wa karibu sana na Membe. Na hili unalosema ni kweli hata mimi nimelisikia, kwa habari nyeti ni kwamba Membe ndiyo kausika kumhujumu mkuu wa nchi akishirikiana na Sadick....
 
siku zoto Prof Tezi dume huwa hatki lawama hii ya wazee kuguna imepangwa ili ionekane wazee ndio wamemshidikiza sio maamzi yake.

Think outside the box
 
iddi simba ndio siku moja alileta wazee wanamshangilia jk kila sentesi hadi akatangazwa mwenyekiti wao. siku hizi anajificha asidaiwe 300 million ya uda alioweka mfukoni.
 
Ndugu wanaJF hii ni taarifa kuwa, mtu aliekabidhiwa jukumu la kukusanya wazee Wa Dar es salaam ili kwenda kujaza ukumbi Wa Diamond Jubilee kumsikiliza Rais akihutubua amewekwa kikaangoni na kibarua change kipo kikaangoni.

Habari zilizopo mezani ni kuwa mzee ametaka Mara moja kujua ni nani alieleta watu wale maana si wazee wa DSM ambao mzee amewazoea wa kupiga vigelegele na Makofi. Habari za kuaminika ni kuwa aliepewa jukumu la kukusanya wazee aliingizwa town baada ya kutoa tenda kwa vijana wa chuo cha mwalimu nyerere Kigamboni, bahati mbaya wakaleta wazee toka Mji mwema ambayo ni Kambi ya UKAWa. Kilichotokea ukumbini Leo hii ni tofauti-na ilivyozoeleka maana wazee walikuwa active muda wote na bila kushangilia kila asemalo mzee.

Kibaya zaidi ni pale walipomfanya mzee abadili msimamo kwa kuona upepo umechange ukumbini ikabidi mzee apate kigugumizi ghafla na kujikuta akimmwaga pasipo kupanga mama Tibaijuka.

Kitendo walicho kifanya wazee kwa kumkazia macho na miguno ya hapa na pale huenda jiji la DSM likapoteza tena nafasi ya wazee kuongea na Raids, tayari kuna fununu kuwa mikutano mingine yote mzee ataongea na wazee Wa Dodoma tu.

Unastahili "like" nyingi sana.
 
Ulitaka hao wazee wakate mauno kama bunge la Katiba na vigele gele? jk kama mkuu wa nchi alikuwa atoe hutuba kwa wananchi wote sio wazee tu,kwani zile fedha za umma, na mchango wa vijana wachapa kazi,wazee kazi kula pension tu.
 
Ndugu wanaJF hii ni taarifa kuwa, mtu aliekabidhiwa jukumu la kukusanya wazee Wa Dar es salaam ili kwenda kujaza ukumbi Wa Diamond Jubilee kumsikiliza Rais akihutubua amewekwa kikaangoni na kibarua change kipo kikaangoni.

Habari zilizopo mezani ni kuwa mzee ametaka Mara moja kujua ni nani alieleta watu wale maana si wazee wa DSM ambao mzee amewazoea wa kupiga vigelegele na Makofi. Habari za kuaminika ni kuwa aliepewa jukumu la kukusanya wazee aliingizwa town baada ya kutoa tenda kwa vijana wa chuo cha mwalimu nyerere Kigamboni, bahati mbaya wakaleta wazee toka Mji mwema ambayo ni Kambi ya UKAWa. Kilichotokea ukumbini Leo hii ni tofauti-na ilivyozoeleka maana wazee walikuwa active muda wote na bila kushangilia kila asemalo mzee.

Kibaya zaidi ni pale walipomfanya mzee abadili msimamo kwa kuona upepo umechange ukumbini ikabidi mzee apate kigugumizi ghafla na kujikuta akimmwaga pasipo kupanga mama Tibaijuka.

Kitendo walicho kifanya wazee kwa kumkazia macho na miguno ya hapa na pale huenda jiji la DSM likapoteza tena nafasi ya wazee kuongea na Raids, tayari kuna fununu kuwa mikutano mingine yote mzee ataongea na wazee Wa Dodoma tu.

Mi nashauri aingie mwenyewe 'front' kuchagua 'wazee' anaowataka. Au kama vipi akaongee na wazee wa Chalinze na Msoga ambao wameshamzoea kwenye vijiwe vya kucheza bao
 
siku zoto Prof Tezi dume huwa hatki lawama hii ya wazee kuguna imepangwa ili ionekane wazee ndio wamemshidikiza sio maamzi yake.

Think outside the box

Is there a box in the first place?
Rais atakayekubali kwa makusudi kubadili maamuzi yake ghafla kwa suala kama kumwachisha kazi Waziri kutokana na miguno toka kwa wanaomsikiliza, hasa kwa jambo ambalo limejadiliwa muda mrefu atakuwa Rais wa namna gani? Kama kweli imetokea hivyo, mi nahisi tu ni kwa sababu (labda) hakuwa na jinsi nyingine.

Anyways, ukweli anaujua yeye mwenyewe zaidi!
 
Ndugu wanaJF hii ni taarifa kuwa, mtu aliekabidhiwa jukumu la kukusanya wazee Wa Dar es salaam ili kwenda kujaza ukumbi Wa Diamond Jubilee kumsikiliza Rais akihutubua amewekwa kikaangoni na kibarua change kipo kikaangoni.

Habari zilizopo mezani ni kuwa mzee ametaka Mara moja kujua ni nani alieleta watu wale maana si wazee wa DSM ambao mzee amewazoea wa kupiga vigelegele na Makofi. Habari za kuaminika ni kuwa aliepewa jukumu la kukusanya wazee aliingizwa town baada ya kutoa tenda kwa vijana wa chuo cha mwalimu nyerere Kigamboni, bahati mbaya wakaleta wazee toka Mji mwema ambayo ni Kambi ya UKAWa. Kilichotokea ukumbini Leo hii ni tofauti-na ilivyozoeleka maana wazee walikuwa active muda wote na bila kushangilia kila asemalo mzee.

Kibaya zaidi ni pale walipomfanya mzee abadili msimamo kwa kuona upepo umechange ukumbini ikabidi mzee apate kigugumizi ghafla na kujikuta akimmwaga pasipo kupanga mama Tibaijuka.

Kitendo walicho kifanya wazee kwa kumkazia macho na miguno ya hapa na pale huenda jiji la DSM likapoteza tena nafasi ya wazee kuongea na Raids, tayari kuna fununu kuwa mikutano mingine yote mzee ataongea na wazee Wa Dodoma tu.

Wewe msemaji wa ikulu?ukawa mmetuletea wahuni pale ukumbini
 
Historia ya Diamond Jubilee na Rais wa Tanzania inaharibiwa sasa.

Nyerere katangaza vita pale dhidi ya nduli Idi Amin, akasema "nia tunayo, uwezo tunao..."

Siku hizi rais akitaka kukohoa anaita wazee wa Dar anaenda Diamond kukohoa.
 
Back
Top Bottom