Alichotakiwa kufanya Mwana FA issue ya Rosa Ree kufungiwa kufanya kazi...

Atetee ujinga yani yeye hajui kuwa kukaa uchi ni kinyume na maadili mpaka aitwe?? Hapana asee hilo nalo linahitaji mjadala kweli tena wangempiga mwaka shenzi zake.
 
Atetee ujinga yani yeye hajui kuwa kukaa uchi ni kinyume na maadili mpaka aitwe?? Hapana asee hilo nalo linahitaji mjadala kweli tena wangempiga mwaka shenzi zake.
Jamani, kwa mnaofahamu hiyo orodha ya hayo maadili yoooote ya nchi yetu, mtuonyeshe yalipo, au myaweke hapa.

Sio mtu akifanya hivi au vile ndo anaaambiwa kuwa ni kinyume cha maadili.

Basata wanamfungia roza ree, ili nani anufaike!? Roza mwenyewe au sisi watazamaji!?

Kama ni roza, sawa! Lakini kama ni sisi watazamaji, mbona nyimbo kibao zipo huko youtube na zina trend kwa sana.

Mfano, Anaconda, yake Nick Minaji. Mbona hawakuifungia hiyo kwenye streams za tz!??
 
Hiyo ndiyo kazi yake ndio maana alikubali kushiriki wamemuonea Rosa Lee
 
Back
Top Bottom