Alichosema Zlatan Ibrahimovich kuhusu ligi ya Marekani

political monger senior

JF-Expert Member
Nov 26, 2020
1,801
5,788
Ibrahimovic:

"It's very easy to score goals in the MLS. If Messi thinks he's the best in history, he should score at least 7 goals in every game, because he's playing against filmmakers and hip-hop artists."
1692543940758.jpg
 
Messi ni mchezaji mzuri lakini Cristiano ni mchezaji mwenye ufundi yakinifu, mdogo wao Neymar jr ni mfalme wa mchezo wa soka ulimwenguni.
Ronaldo ana ufundi gani na wewe?
Ronaldo ni hard worker ila in terms of Ufundi ni Lionel Messi. Messi anacurl freekicks, anapiga pasi za macho, anatoa assists hata katikati ya uwanja.
 
Uzuri Messi mwenyewe kishashinda kila kitu, so sasa hivi ana enjoy mpira hana presha anacheza kwa kurelax na alichotaka ni utulivu.

Kama angetaka kubaki ulaya angebaki kwani PSG walimwomba abaki na Barca nao walimtaka. So sizani kama anamda wa kukamia sana mechi, sasa hivi yy anacheza kuenjoy.
 
Hawajui kuwa marekani watu huwa wanaenda kutengeneza brand wakati Saudi ni pesa.
 
Uzuri Messi mwenyewe kishashinda kila kitu, so sasa hivi ana enjoy mpira hana presha anacheza kwa kurelax na alichotaka ni utulivu.

Kama angetaka kubaki ulaya angebaki kwani PSG walimwomba abaki na Barca nao walimtaka. So sizani kama anamda wa kukamia sana mechi, sasa hivi yy anacheza kuenjoy.
PSG walitamani sana abaki sema kutokana na hostile treatment aliyopokea kwa PSG Ultras hasahasa baada ya kutukana mama mzazi wa Messi , akaona hapa bora aondoke, hela sio kila kitu.
 
Binadamu bwana hivi hao jamaa kina messi & Ronaldo still kuna watu wanawadai kwenye soccer?? Duuh kumbe tunatofautina, binafsi ni fan mkubwa wa messi ila toka aende PSG niliacha kumfatilia maana binafsi nilihisi keshamaliza kwenye hata world cup sikuitumia kama kigezo cha kum underrate, ila hii juzi alivyochukua na WC ndio kabisaa sifuatilii habari zake maana that man has done nothing else labda waanzishe kombe jipya

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom