Alichosema Zlatan Ibrahimovich kuhusu ligi ya Marekani

Ibrahimovic:

"It's very easy to score goals in the MLS. If Messi thinks he's the best in history, he should score at least 7 goals in every game, because he's playing against filmmakers and hip-hop artists."View attachment 2723082
Zlatan anamuhushimu sana Messi sidhani kama anaweza kuongea huo upuuzi nitaamini ukinipatia chanzo Cha hii habar Yako.

Kipindi wanacheza wote pale Barca Kuna mechi Zlatan alikuwa Kila akipewa pass anapaisha, kama mara 5 hivi zote anapiga vyongo tena ndani ya kisanduku Cha penalty jamaa akawa stressed kinoma wakati huo Barca wanaongoza 2:1 zote zimefungwa na Messi ikatokea Messi aka dribble mpaka kwenye penalty box wakamkwatua refa akaweka tuta kumbuka aliyetakiwa kuipiga Ile Penalty ni Messi akachukua mpira akamkabidhi Zlatan akafunga ile penalty, Leo hii Zlatan amshushie heshima kiasi hicho?
 
Messi alimpiga mkwara pep Kama hampangi pale mbele afunge na kumpanga zlatan,basi ye ataondoka,ndo kisa zlatan kuondoka barce na hampendi pep anamuita muoga
 
Chai Ibra ana muheshimu sana Messi, halafu uzuri jamaa sio mnafiki. Kaitafuta interview yake halafu uone maneno aliyo ya ongea kumuhusu Messi.
 
Ulikana ukadai chai post yangu ya mzozo wa namba pep, cadabra na Messi
"Messi alimpiga mkwara pep Kama hampangi pale mbele afunge na kumpanga zlatan,basi ye ataondoka,"

Nilicho kipinga ni hiko ,kwani 100% ni uwongo/chai.Messi hakuwahi kuwa na msuguano na Cadabra.

Messi anacheza na stiker yoyote haitaji kusimama namba 9,mara nyingia anacheza kulia na kuingia kati, refer David Villa,Ettoo na hata Cadabra au sometimes anasimama namba 10 na hajawahi kuwa mbinafsi na ndio maana ukitaja wachezaji watatu wenye assist nyingi ktk mpira wa miguu Messi yupo.
 
We jamaa mpuuzi kweli,tafuta interview ya cadabra ya juzi juzi tu hapa,tatizo mnajifanya mnaujua mpira wakati mmeanza kufuatilia jana
 
Wewe ndio mwehu kabisa ,weka link hapa ya hiyo interview ya Cadabra,hizo chai zako sijui unazipikia wapi halafu unasema Cadabra kasema.

Mimi sio kwamba najifanya kujua mpira mimi mpira na ujua hata kama ww hutaki ila haibadilishi kuwa mpira na ujua na sikulazimishi

Weka link hapa ya kuzibitisha chai yako hii ya chini.

👇👇

"Messi alimpiga mkwara pep Kama hampangi pale mbele afunge na kumpanga zlatan,basi ye ataondoka,"
 
Wewe ndio mwehu kabisa ,weka link hapa ya hiyo interview ya Cadabra,hizo chai zako sijui unazipikia wapi halafu unasema Cadabra kasema.

Mimi sio kwamba najifanya kujua mpira mimi mpira na ujua hata kama ww hutaki ila haibadilishi kuwa mpira na ujua na sikulazimishi

Weka link hapa ya kuzibitisha chai yako hii ya chini.

👇👇

"Messi alimpiga mkwara pep Kama hampangi pale mbele afunge na kumpanga zlatan,basi ye ataondoka,"
Mpaka nikuwekee link!?.. google kijana,mbona mvivu!!..ulisoma ki-spoon feeding!?
 
'as a coach he's phenomenal,but as a man..'.......haya nimekutafutia makala hiyo tribunal.com/football
 
Ndio maana kuna kitu kinaitwa reference weka link hapa, twende kisomi kwani wasomi wanaongea kwa reference na si chai zako.

Mimi hiyo habari nimeitafuta sijaiona so weka reference.
 
'as a coach he's phenomenal,but as a man..'.......haya nimekutafutia makala hiyo tribunal.com/football
Weka link, mbona easy copy url iweka hapa,then tuverify hiyo habari na source yako ya hii information.

Hii interview Cadabra kafanya na the Sun ya UK 2023 june, angalia alicho kiongea kuhusu Messi.

Similar Discussions

Back
Top Bottom