Alichosema Putin kuhusu Afrika

Huyu putini aliyasema hayo akiwa Morogoro ni Putin huyuhuyu wa Russia au putini wa Kilosa bwana shaka handu shaka?
 
Aisee putin na urusi kwa ujumla nilikuwa naikubali sana.... Lakini baada ya kugundua unafiki wa hiyo NCHI kwa Iran Dah sitamani tenaa kuiona duniaani!!?
 
Nimesoma jina la mleta Makala nimechoka, hawa jamaa huwa ni waongo sana na uongo wao hauna ulazima yaani. ukidanganya unafaidika na nini zaidi unakuwa mtumwa wa Iblis tu
 

Tunaomba chanzo cha habari hii nasi tujielimishe
 
Mbona hukumsaidia Asad! Umeamua kuwatukana waafrika kwa kumsifia muafrika,pumbafu sana wewe.
Unaropoka nini wewe?
Zaidi ya miaka 15 Asad amekuwa alilitegemea jeshi la Urusi.
Ilipofikia kwa mustakabali wa nchi Urusi ilimshauri aachie uongozi.
Kama hamujui kitu nyamazeni jamani.
 
KAMA HUYU SAMIA BUSHIRI NI LAANA KAMILI.....AMELAANIWA NA ABDUL MZAWA WA TUMBO LAKE KALAANIWA
 
Mdau we take a bow...
Ingenoga hii ipelekwe mashuleni..
Liwe neno la kila siku kwenye vyombo vya habari..
Haya maneno yawekwe kwenye mabango nchi nzima, barabara zote na raia wetu iwaingie kichwani.
👏👏👏👏👏
 
Yupo sahihi kwa 100%
 
Ukwel mchungu.. Africa tuna viongoz waroho wa madaraka na ubinafs pia wezi.

Najiuliza hapa africa wangepatikana maraisi hata watano kama traole akiwemo na magufuri. Africa ingeanza kuokopeka na ingefata mfumo
 
... Lakini kitu pekee ambacho AFRIKA imekosa ni viongozi wenye akili.
 
... Lakini kitu pekee ambacho AFRIKA imekosa ni viongozi wenye akili.
Akili wanazo, tena sana sana, ni kuendekeza tamaa tu mdau?
Ambayo imezalisha wizi, ubinafsi, ufisadi, nepotism, njaa, roho mbaya....
 
Hii hotuba ameitoa wapi?
Haya ni maneno ya mtunga mashairi wa Kenya acheni uongo

Source ya mada hii imetokea sokoni tandale
 
""TRAORE anajitambua sana kuliko viongozi wote wa AFRIKA na raia wao.""

Daaah......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…