Mwanahabari Huru JF-Expert Member Joined Mar 9, 2015 Posts 14,242 Reaction score 34,917 Aug 20, 2017 #1
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,931 Aug 20, 2017 #2 Bora awake, tumechoka kusikia wabunge wa Chadema wakikamatwa.
M2mwembamba JF-Expert Member Joined Feb 23, 2014 Posts 2,512 Reaction score 1,136 Aug 20, 2017 #3 Ni uonevu uliopitiliza Sent using Jamii Forums mobile app
Odhiambo cairo JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 16,353 Reaction score 22,963 Aug 20, 2017 #4 Ni uoga sijui?! Hata wakati wa Mwl alieongoza baada tu ya wakoloni hatukuwa hivi!! Ule ukweli Maghufuli awape maelekezo tofauti hali hii inamzidishia chuki zaidi kwa wananchi wake badala ya kupendwa . Cairo's
Ni uoga sijui?! Hata wakati wa Mwl alieongoza baada tu ya wakoloni hatukuwa hivi!! Ule ukweli Maghufuli awape maelekezo tofauti hali hii inamzidishia chuki zaidi kwa wananchi wake badala ya kupendwa . Cairo's
UncleBen JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 9,693 Reaction score 12,329 Aug 20, 2017 #5 Halafu atakuja mtoto wa Lumumba hapa kusema hichi alichosema Lema ni upuuzi haya sawa Lema umetimiza wajibu wako Mwenye sikio asikie
Halafu atakuja mtoto wa Lumumba hapa kusema hichi alichosema Lema ni upuuzi haya sawa Lema umetimiza wajibu wako Mwenye sikio asikie
Ranks JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 2,583 Reaction score 1,098 Aug 20, 2017 #6 Bravo!bravo,bravo Lema.
mbeyakwetu JF-Expert Member Joined Dec 17, 2016 Posts 723 Reaction score 398 Aug 26, 2017 #7 atapimwa mkojo siku siyo nyingi