Hata mimi sijaexpect wewe kuelewa busara ya siasa za adabu na ustaarabu...lakini najua wapiga kura wa Tanzania mnaowaita mbumbumbu akiwemo mama yangu wanaelewa sana uzito wa busara hizo...sasa kama unadhani kuna mtu anaweza kuchukua nchi hii kwa kura za watu wa aina yako mliojawa na chuki na hulka ya magomvi, then nawatakia mafanikio mema hiyo jumapili...

Siku zote inajulikana wewe na familia yako ni ccm damu damu, kwamba mama yako hataki kuwaona zitto kabwe na "mwanae Dr. Slaa" sio habari kabisa, kwani kwa mantiki ya kilichotokea jana, hakuna jambo jipya alilozungumza Dr.Slaa linalomhusu jk. Yote aliyoyasema jana ameyasema kila mahala alipokwenda tangu kampeni zimeanza. Ukiacha sera ya usalama ambayo aliizungumzia jana kwa mara ya kwanza mengine yote yalikuwa ni marudio tu. Alizungumzia pia ufisadi uliofanywa na ccm kwenye ujenzi wa matundu ya vyoo vya shule bagamoyo, na inajulikana kwamba alishamtaja jk kwenye list of shame tangu 2007 sasa utaona kuwa mama yako sio mkweli ama la unausemea moyo wa mama!
Mnanikumbusha article ya Generali Ulimwengu-Kukosa haya huzaa aibu na mwishowe Hatari.....jikumbushe hapo chini
"
Inaelekea kila tunapomwona mwenzetu ana dalili za kupata kichaa, kavua nguo na kuingia mtaani, tumesahau kwamba tunachotakiwa kufanya ni kumkamata na kumrejesha ndani, kumfunga kamba na kumtafutia matibabu mwafaka.
Badala ya kufanya hivyo, nasi tunavua nguo zetu na kumfuata huko huko mtaani tukiwa kama yeye. Ndiyo maana nasema tena, kwamba nchi hii inaanza kuonekana kama kijiji kisichokuwa na wazee, ambao watoto ndio wanaendesha mambo, lakini watoto wenyewe ndio hao hao waliotakiwa kuwa wazee wa kijiji chetu. Tutakuwa wageni wa nani"
Ni kweli mama yangu kwa miaka mingi hakuwa anaamini kuwa Tanzania bila ya CCM inawezekana. Na pia ile fikira kuwa upinzani ni longolongo na watu wa vurugu alikuwa nayo pia.
Ni kweli mama yangu kwa miaka mingi hakuwa anaamini kuwa Tanzania bila ya CCM inawezekana. Na pia ile fikira kuwa upinzani ni longolongo na watu wa vurugu alikuwa nayo pia.
Lakini katika miaka takribani mitatu sasa amekuwa na shauku kubwa ya kujua kuhusu CHADEMA na haswa waliokuwa wakimvutia ni Zitto na Dr Slaa. Mama yangu ni conservative kama walivyo wazazi wengi lakini naweza kusema hadi kufikia jana, naye alikuwa kama mama na baba za wengine humu ambao walikuwa tayari kuchughulia huko kwengine kuna nini. Na hawa ndio kama wale aliwaita Prof Lwaitama aliwaita CCM wafu. Walianza kuitika wito wa mabadiliko lakini hizi wiki mbili za mwisho, nadhani wengi watarudi shimoni walipozoea...
Sasa kama mnadhani CCM itaondoka kwa jazba, machungu na hasira za wajanja wa mjini na sio hawa mnaowaona kama mbumbmumbu wa Tanzania ambao ni zaidi ya asilimi 70, basi ni wazi kuna haja ya kuangalia mikakati yenu upya mara baada ya kusikia sauti ya hawa mbumbumbu mnaowadharau come to Sunday 31st 2010.....
hivi kusema uzinzi wa dr slaa kafundishwa na mama yake ni sawa ?
hapa too low mm naamini dr slaa mwenyewe na mama yake namheshimu hadi nipate ushahidi wa kuthibitisha hivyo?
hivi kusema uzinzi wa dr slaa kafundishwa na mama yake ni sawa ?
hapa too low mm naamini dr slaa mwenyewe na mama yake namheshimu hadi nipate ushahidi wa kuthibitisha hivyo?