Alichosema Dr Mashinji kuhusu chaguzi

Alichosema Dr Mashinji kuhusu chaguzi

Kupitia Account/ ukurasa wake wa Twitter Dr Mashinji amekubali Matokeo hata kabla ya Kutangazwa na anaganga ya Chaguzi zijazo sisi vidagaa tumuunge mkono Dr. Mashinji uchaguzi umeisha.

Naunga mkono hoja wizi na uporaji wa waziwazi bila aibu hata kidogo
 
Sasa hiyo ni kukubali matokeo??

Yeye kasema ni lazima kama chama kitafakari njia mpya ya kukabiliana na dhuluma hizo za CCM kutegemea kubebwa na mbeleko za Tume ya uchaguzi na Jeshi la Polisi
 
Photo from bndilahomba.jpg
 
Back
Top Bottom