Alichopost Malia Obama facebook

Watanzania tunajiloga wenyewe alafu eti tunatafuta mchawi alietuloga!!
 
Aiseee kuna mtu kalalamika "chura hatuoni" pia[emoji13] [emoji13]
 
Ya sukari hata hatujamaliza kuisoma namba...., ila hiyo ya Kifaru ni XXXXXL!!
 
kwa kutoe zile comments Moderator mmemaliza utamu wa hii thread
 
JK at his best awamu hii labda mgeni mkubwa atakuwa kagame au raisi wa komoro
Wa komoro haji ng'o. Katuwekea kiongozi wetu wa upande wa pili wa muungano kwenye siti za back bencher kwenye kuapishwa kwake. Sisi ni mwendo wa Rwanda tu.
 
JK at his best awamu hii labda mgeni mkubwa atakuwa kagame au raisi wa komoro

Bwana Maji marefuu mgeni mkubwa sie wa nini? Alipokuja uyo mkubwa we uligundua nini? Ulipata nini zaidi ya huyo mkubwa kutia hasara taifa tuu. Hatuna haja ya mgeni mkubwa.
 
Bwana Maji marefuu mgeni mkubwa sie wa nini? Alipokuja uyo mkubwa we uligundua nini? Ulipata nini zaidi ya huyo mkubwa kutia hasara taifa tuu. Hatuna haja ya mgeni mkubwa.

ww kama hukufaidika mm niliuza diesel nyingi sana kwa ujio wa obama nashkuru
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…