Alichonifanyia rafiki yangu namuachia Mungu

ulichofanya ni pouwa tu.. hukuwa chaguo lake ila wewe ulikuwa njia ya kumfikisha kwenye chaguo lake
 
Mmmh, nilijua ni wanawake tu wanaibiana mabwana kumbe hata wanaume mmoo,....

Pole mwayaa, we endelea tuu na mambo yako, maombi ya Mchungaji yamemletea waume wawilii kwa mpigooo
 
wateme wote halafu kapime ukimwi ujue status yako tena si ukimwi peke magonjwa yote ya zinaa huyo mwanamke si mtu wa kawaida ndani ya mwezi na wiki3 kashadate na watu wawili na tunda wamekula inaingiaje akilini hii
 
Jitahidini sana wakati mwingine ukipata mtu mwenye kuweka dini mbele basi taa nyekundu iwake. Dini ni kichaka cha kuficha UOVU.
 
Jifupi hayo ndo matunda ya mapenzi ya mwendo kasi........you needs time to plan..... sio mnakutana hamjapima hata ngoma mnachovya fasta fasta.....hata hamjapanga kuzaaa....mnachomeka chomeka kila cku......
You need to learn stages to have a familiy.......FRIENDSHIP......DATING......UCHUMBA.....NDOA ambayo kila stage in muda wa kutadhimini na matukio mengi ya kuchunguza
Ukiparamia miti....ndo yaknakupata hayo
 
Sasa hili nalo la kuomba ushauli hukujiuliza demu unamtongoza cku 1 na unakula cku hiyohyo bado tu hupati picha huyo ni demu wa aina gani ukute hata uliekuwa unaongea nae co mchungaji ni msela huyohuyo
 
Pokea simu ya rafiki yako, mwambie umeshajua na unatoa go ahead, asiwe na wasi wasi wowote na mwambie huna kinyongo.

Baada ya hapo achana nao wote waendelee na maisha yao, kama hamshirikiani kibiashara au kwa kitu kingine kile hakuna shida, achana nao wote endelea na maisha yako.

Kuna baadhi ya marafiki huona vitu walivyonavyo rafiki zao ndo vizuri na hutafuta jinsi ya kuvichukua au kuharibu, na huo ni mfano wa kesi yako.

Endelea na maisha yako.
 
Kwanini mna tabia ya kufanya ngono bila kinga!!??? Inashangaza sana, unakutana na mtu leo, siku ya pili yake mnalala pamoja (bila kinga) halafu unakuja hapa unalialia tu, yaani wewe na hudo mwanamke na huyo aliyekuchukulia wote ni majanga kabisa! Ukome kuanzia sasa kulala na mtu bila kinga! Unatakiwa uwe sasa uwe na mashaka na afya yako na sio mashaka ya urafiki wako na mwenzako!
 
yeye hana makosa hata kidoogo labda demu wako ndo ana matatizo koz hawezi gawa wakati anajua kabisa ana kupenda we kuwa mpole tu ongea na jamaa fresh
 
we jamaaa unaakili sana angekua mwingine angeomba ushauri wa huyo mwanamke ila ww umeomba ushaur kuhusu rafiki yako BIG UP
 
SIJUI NISEME WENI BOYA PIA
1. MTU WA MAOMBI ANAACHI APAPUCCHI FASTAPIA....UTATA....
2. ANATUKANA WENZAKO WA KIKE WA KWENYE SIMU INSANE...
3. USNAII UMEJAA HAPO
4. AF Mimba ya mwezi kabla hamjakutana af bado unampa ma hope akajua we ni boya
5. unambembeleza wakati anajua miba si uyako ...kajua we boya tu na kasepa kwa vile sio yako....
6.unanuna kisa mwenzio kachukua wakati huyo mwenyewe kwako amekucheat hujielewi au....
ukigombana na jamaa utakuwa boya pia.....wote usaniii mdada msaniii tu naye unimecheka eti mtu wamaombimwanzo mwisho ...atleast angetoa kwa mbinde ila sio kizembe hivo
 
Yaan wewe ndio umeingilia mapenzi ya watu,mimba ina siku nying kabla hata wewe hujakula papuchi
 
pole bro.....ila unaufahamu ugonjwa wa UKIMWI???......hv kwanini lakini.....leo mnakutana..kesho kitombo....eti niliona anafaa kuoa.......pumbafu sana wewe.......kwanza usimlaumu rafiki yako....ulimkabidhi mwenyewe.....laumu huyo mliefanya ngono zembe.....kapime kwanza.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom