Alichokisema roma (mkatoliki) kuhusu boom. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alichokisema roma (mkatoliki) kuhusu boom.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by KAUZUDAGAA, Sep 25, 2012.

 1. K

  KAUZUDAGAA Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Eti kwenye ule wimbo wa MATHEMATICS wa Roma wa Tongwe Records kuna mistari ameisema eti:
  "MAKAHABA WANAONGEZEKA BOOM LINAPOKATA".
  vp kuna ukweli wowote hapo? Tiririkaaa...!
   
 2. M

  MLEKIZAYO Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kweli kwa jicho la tofauti kwani watu boom likitoka wanatumia vibaya,then likikata wanatafuta any means za kuishi
   
 3. A

  Awadh Mabaraza Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eti m2 mzima kawaza kaona hki ndo cha kuandika... Aibu ilioje!
  Ama kweli mdomo jalala
   
 4. Ttaba

  Ttaba Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  jamaa hizi post zako hizi, kajipange upya sio kupost kila kitu kinacho kujia akilini bila kutafakar kwanza
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,892
  Trophy Points: 280
  Uyo roma ndo nani???

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
Loading...