Rutakyamilwa
JF-Expert Member
- Feb 27, 2009
- 1,871
- 1,242
Tatizo lipo kwakoElsewhere, Polycarp Cardinal Pengo urged Tanzanians to support President John Magufuli’s efforts to bring development in the country by working hard.
He said in his Christmas Eve sermon at St Marcus Church in Kurasini Parish, Dar es Salaam, that Tanzanians should work hard without complaining.
“The time has come for Tanzanians to work hard, day and night, to support President Magufuli’s efforts,” he said
My take: Kuna tatizo na huyu somewhere. Haoni la kyrekebisha kwa hiyo aliyemtetea
Sent from my HM NOTE 1LTEW using JamiiForums mobile app
A cha unaaa aliemtukana ninaniiii kakwambia ni CDM?chadema bhna mnatukana hadi viongozi wenu wa dini alafu mnajiita chama cha demokrasia, how kiwe chama cha demokrasia wakati mnataka wote wawe na mawazo sawa?
Acha bange, wapi Wamesema Chadema? Acha mihemkochadema bhna mnatukana hadi viongozi wenu wa dini alafu mnajiita chama cha demokrasia, how kiwe chama cha demokrasia wakati mnataka wote wawe na mawazo sawa?
huyu nae Hata Misa yake anayosalisha siwezi hata kusalishwa nae hana credibility hiyo hata mia kutoa sadaka kwake sigusi ivi yale maharage yaliishia wapi kwani?Elsewhere, Polycarp Cardinal Pengo urged Tanzanians to support President John Magufuli’s efforts to bring development in the country by working hard.
He said in his Christmas Eve sermon at St Marcus Church in Kurasini Parish, Dar es Salaam, that Tanzanians should work hard without complaining.
“The time has come for Tanzanians to work hard, day and night, to support President Magufuli’s efforts,” he said
My take: Kuna tatizo na huyu somewhere. Haoni la kyrekebisha kwa hiyo aliyemtetea
Sent from my HM NOTE 1LTEW using JamiiForums mobile app
Acha bange, wapi Wamesema Chadema? Acha mihemko
Nikikumbuka mwaka 2012 June siku alivotuita Maaskofu na Mapadri kule Avion Resort Bagamoyo kufika tunaambiwa tumeitwa kikao cha kupanga mikakati kuzuia Waislamu wasihesabiwe kwenye sensa kubabake.
Tangu siku hiyo nikamdharau sana.
Mapadri wanne kesho yake tukabwaga manyanga. Tukaachana kabisa na habari za Upadri.
upadre wako ni wa Pengo au ulikuwa unatafuta mlango tu wa kutokeaNikikumbuka mwaka 2012 June siku alivotuita Maaskofu na Mapadri kule Avion Resort Bagamoyo kufika tunaambiwa tumeitwa kikao cha kupanga mikakati kuzuia Waislamu wasihesabiwe kwenye sensa kubabake.
Tangu siku hiyo nikamdharau sana.
Mapadri wanne kesho yake tukabwaga manyanga. Tukaachana kabisa na habari za Upadri.