Tofauti na siasa nakukubali na kukupenda sana.
Huku huwa tunazungumza lugha moja na kuelewana.
Ni kama ulikuwa katika akili yangu,binafsi siwezi kufanya ujinga huo.
Hata mdogo wangu wa damu,siwezi kuruhusu ukaribu wa aina yoyote na shemeji yake....[emoji135]
Kweli,mengi nimeona na kusikia jinsi gani mabinti huaribiwa na baba zao.Hata baba wa wanawe ukimuachia fursa eti ya kumtoa outing binti yake mpaka saa nane za usiku ujuwe hamuachi, labda awe siyo rijali.
Tumeyaona mengi. Mabinti wengi huanza kulishwa uroda na watu wa karibu kabisa majumbani mwao. Hususan baba zao.
Psychologically, visichana vinapoanza kiherehere kiranga huwa kwa baba zao na vivulana huanza kiherehere na Kiranga huwa kwa mama zao.
Watoto ni kuwalinda sana ndani mwao kuliko nje.
Hata vya kiume vingi huanza, ashaakum si matusi, kuharibiwa na watu wao wa karibu.
*kiranga = nyege
nahisi kama kuna mtu anapewa ujumbe hapa.tena laiv.Ngozi ni binti wa miaka 22 akiwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili akisomea shahada ya usawi wa jamii. Ngozi amejaliwa ana weusi wa kiafrika na figure number nane, ukichanganya na kujipenda kwake, ni binti mrembo sana. Katika familia yao Ngozi ni binti wa kwanza kufika chuo kikuu kwahiyo mashangazi na mama wadogo wote wanafuraha kuelezea maendeleo ya Ngozi.
Likizo moja ya chuo ambayo ilikua takriban miezi miwili, mama mdogo wa Arusha alimualika Ngozi aende kwake akapumzike. Mama mdogo ameolewa na mfanya biashara, kama unavyojua machalii wote ni mamilionea!! Kwakifupi mama mdogo maisha super. Tena kwa kutokutaka binti yake asipate tabu, mama mdogo alituma ticket ya ndege kutoka DSM.
Wiki ya kwanza Ngozi kukaa Arusha alikuwa exited kwanza kumuona mama mdogo ambae hawajaonana muda mrefu, pili alikuwa haijui Arusha kabisa. Mama mdogo anakigrocery kwahiyo asubuhi walikuwa wanatoka wote na kurudi jioni. Baada ya wiki mbili ile ratiba ilimchosha Ngozi, ingawa alijitahidi sana kutoonyesha lakini wenyeji wake walimstukia. Mama mdogo alivunjikwa moyo, basi mume wake akamuambia hawa vijana ni wakuwatoa jioni sehemu za starehe.
Uncle alimuambia Ngozi ajiandae wanatoka, mama mdogo mitoko haiwezi kwanza mwenyewe anawatoto wadogo, kwahiyo akishafunga biashara yake anataka awe nyumbani na watoto wakilala na yeye apate kupmzika. Ngozi aliinjoy sana mtoko, na yeye ni mtu wa kinywaji, alipiga viwine vyake huko, walirudi usiku wa kama saa nane.
Alfajiri mmoja katika watoto wa mama mdogo akawa na temperature tena anatapika, mama mdogo ilibidi amwamshe mume wake wamuwahishe mtoto hospitali, wanafika kwenye gari mama mdogo anakuta kufuli la kike, mume wake alikataa kabisa kuwa hafahamu chochote kuhusu lile kufuli. Ngozi alipoulizwa amebaki kimya, ugeni wa Ngozi uliishia pale, na uhusiano na mama mdogo mpaka sasa hauna afya njema kibaya zaidi ni kuwa mama mzazi wa Ngozi anamtetea mwanae na mama mdogo amekuwa mtu mbaya sana.
Umeongea point kubwa sana.... Haiwezekani mwanaume rijali apewe mtoto mbichi aende kumnywesha halafu amrudishe salama salimini... Itakua si uungwana kabsa... Haki imetendeka..Umwachie mumeo kibinti cha miaka 22 aende akanywe nacho mpaka saa nane za usiku kisha umsukumie lawama mwengine?
Hilo libaba si linajuwa wazi umemletea damu mpya makusudi? Au mie ndiyo sijaelewa?
Kiislam tunakatazwa hata kukaa kwenye nyumba pekeetu tukibaki mwanamke na mwanamme seuze leo umtowe mwanamke wa miaka 22 wakalewe na mumeo mpaka saa nane za usiku, khaa!
Kwa namna hiyo, huyo mwanamme angemuacha angekuwa yeye ndiye shoga.
Umpe chui mbuzi ampeleke kwa wenzake?
kumbe huwa unatembelea mitaa hii?
mara nyingine unakuwa na pointi hadi basi,umeongea fakti 100%Umwachie mumeo kibinti cha miaka 22 aende akanywe nacho mpaka saa nane za usiku kisha umsukumie lawama mwengine?
Hilo libaba si linajuwa wazi umemletea damu mpya makusudi? Au mie ndiyo sijaelewa?
Kiislam tunakatazwa hata kukaa kwenye nyumba pekeetu tukibaki mwanamke na mwanamme seuze leo umtowe mwanamke wa miaka 22 wakalewe na mumeo mpaka saa nane za usiku, khaa!
Kwa namna hiyo, huyo mwanamme angemuacha angekuwa yeye ndiye shoga.
Umpe chui mbuzi ampeleke kwa wenzake?
Tofauti na siasa nakukubali na kukupenda sana.
Huku huwa tunazungumza lugha moja na kuelewana.
Ni kama ulikuwa katika akili yangu,binafsi siwezi kufanya ujinga huo.
Hata mdogo wangu wa damu,siwezi kuruhusu ukaribu wa aina yoyote na shemeji yake....[emoji135]
lakini kumbuka kuwa walikuwa wakienda baa,Inaelekea mama mdogo alishindwa kuchunga mzigo wake mwenyewe, lakini Ngozi hakuwa binti mdogo, angeweza kukataa hata kutishia yule baba kuwa nitamwambia mkeo. Hakuwa na adabu, lakini hivi vibinti vya siku hizi vina tamaa ya pesa.
Umwachie mumeo kibinti cha miaka 22 aende akanywe nacho mpaka saa nane za usiku kisha umsukumie lawama mwengine?
Hilo libaba si linajuwa wazi umemletea damu mpya makusudi? Au mie ndiyo sijaelewa?
Kiislam tunakatazwa hata kukaa kwenye nyumba pekeetu tukibaki mwanamke na mwanamme seuze leo umtowe mwanamke wa miaka 22 wakalewe na mumeo mpaka saa nane za usiku, khaa!
Kwa namna hiyo, huyo mwanamme angemuacha angekuwa yeye ndiye shoga.
Umpe chui mbuzi ampeleke kwa wenzake?
Uzungu unawasumbuaUmwachie mumeo kibinti cha miaka 22 aende akanywe nacho mpaka saa nane za usiku kisha umsukumie lawama mwengine?
Hilo libaba si linajuwa wazi umemletea damu mpya makusudi? Au mie ndiyo sijaelewa?
Kiislam tunakatazwa hata kukaa kwenye nyumba pekeetu tukibaki mwanamke na mwanamme seuze leo umtowe mwanamke wa miaka 22 wakalewe na mumeo mpaka saa nane za usiku, khaa!
Kwa namna hiyo, huyo mwanamme angemuacha angekuwa yeye ndiye shoga.
Umpe chui mbuzi ampeleke kwa wenzake?
Mpe hi,mwambie wala vumbi wanaitaji ka-babyYuko fresh unataka kumpa hi?
Hata baba wa wanawe ukimuachia fursa eti ya kumtoa outing binti yake mpaka saa nane za usiku ujuwe hamuachi, labda awe siyo rijali.