First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
Heshima kwenu Great thinkers ndani ya Kapeti!!
Ni suala ambalo kiukweli linanichanganya sana, lakini nahisi kwa kuweka mikono na akili zetu pamoja naweza kuwa na UAMUZI SAHIHI WA KUCHUKUA.
Miaka kama minne iliyopita nilikutana na binti ambaye kiukweli nilitokea kumpenda kutokana na uzuri na heshima pamoja na utulivu wake, nilimwelezea hisia zangu lakini alizipokea kwa kuhisi kuwa nisingempenda endapo angepata muda na kuniambia hali aliyokuwa nayo. Nilimtoa wasiwasi na kumwambia kuwa ningekuwa tayari kwa lolote.
Yule binti aliniambia kuwa yeye alikuwa na mtoto(tayari kashazalishwa ingawa hakuwa pamoja na huyo boyfriend wake), akaniambia kama ningekuwa tayari kumpenda yeye na mtoto wake basi angekuwa tayari kuwa na mimi
Nilikuwa tayari na tukaanza mahusiano, lakin siku zilivokwenda yule binti alionekana kama hakuwa na amani, nikamuuliza na kumwomba kuwa huru kabisa,
Huyu binti kwanza kabisa alinitaka radhi, na kunieleza wazi kila kitu mwanzo mwisho, kwamba Mama yake aliwahi kukorofishana na baba yake wakatalakiana ndipo mama alivoamua kumchukua kijana wa makamo kama mumewe.
(kipindi hicho yy akiwa mdogo mwnfnz wa kidato cha kwanza)
Siku mmoja mama akiwa safarini yule babaake mdogo alimbaka lakini yeye alimficha mama, miezi michache baadae akajishtkia kuwa ana ujauzito. Hapo ndipo alipoacha shule kwani hata alivomwambia mama hakuamini kwa kudhani kuwa alikuwa anamsingizia mumewe. Alimzaa mtoto wa kike aliefanana copy right na mdogo wake ambae ni mtoto wa huyo babake, nilipata mshituko alivoniambia kuwa mi ndo nikuwa boyfriend wake wa kwanza kabisa ila baba mdogo wake ndie chanzo cha kila kitu.
Sasa wakubwa nifanyeje??
1. Niwe na mtu ambae amezaa na babaake?
2. Nimwache ilhali nilimuahi kuwa tayari kwa taarifa zozote?
Inaniuma kweli, naombeni ushauri
wenu Mzaliwa wa Kwanza.
.

..

Huyu binti kwanza kabisa alinitaka radhi, na kunieleza wazi kila kitu mwanzo mwisho,....
.
Asante sanaHuna haja ya kumuacha, hakuzaa na baba yake mzazi, huyo ni bazazi tu bwana ake mamake wala sio mumewe, ingekuwa ni baba yake mzazi ingekuwa ni ishu nyingine, wewe chukulia tu ni kama msichana umekutana naye kazaa na jamaa tu. not her biological father.kwanza hongera ni vigumu sana kukutana na mwanamke akawa muwazi kwako. you should believe her. give her love. You should consider the following:1. According your information the lady need true relation because on what she has passed on.2. She never trust a man before, you are his dream man, you should show the truth too.3. If you think this relation will not take you anywhere, its just admire and not a love, you should stop just now before you hurt her.4. Do not take her, marry her.
Ubarikiwe sana.Kama wewe unampenda na yeye anakupenda ..hiyo sio issue kabisaaa.. Tena huyo kama unamwonyesha kumwamini na kutotilia maanani yaliyopita.. mtafika mbali sana... Kikubwa..na kikubwa sana.. Jaribu kufikiri kama unaweza kumpenda huyo mtoto..kama wa kwako..kwani upende au usipende ana sehemu yake kwenye maisha yenu.... Ningekuwa mimi nisingejali nani kamzalisha ningeshahesabu nina mtoto mmoja (kwa moyo mmoja na mapenzi yote)..na kuendelea kutafuta wa pili..
asante.Hakuna haja ya kumuacha kwa sababu kawa muwazi kwako, pia endapo utamuacha huenda ukamsababishia matatizo makubwa kwani kakuamini sana na ndio maana hajakuficha kitu kuhusiana na maisha yake ya nyuma...
Asante St Ivuga.pole sana..nakushauri usimuache kabisa..kama humtaki bora unipigie pande(joke) kwa vile binti ashakuwa muwazi mbele yako ukimuacha litakuwa ni pigo moja kubwa sana kwake.kaa chini utulie umepata mke..mwanamke mwenye uwezo wa kukuhadithia kitu kama hicho bila kuficha ujue kuwa huyo ni mkweli na hatokuja kukudanganya kijinga maishani.
Be blessed Afrodenzi.Anakuhitaji wewe.. Anahitaji msaada wako.. Muhimu zaidi anataka upendo wako.. Swali linakuja hapa wewe uko tayari..? Ni kitu kizito sana kubeba mwenyewe.. Ni muhimu kwa wewe kupata msaada pia. Labda kwa wazazi au msaa wa nje Cancelling Yaelekea ni mzigo aliubeba kwa muda .. Amekuamini wewe muhimu sana kwenye Relationship (TRUST) mkivuka hili mtafika Mbali..Take care AD..
Asante.ulimpromise kwa lolote lille na lolote lenyewe ndio hilo...........amekuwa wazi kwako sababu ndio kimbilio lake......ukimwacha ataona hata wewe aliyekuamini na kueleza matatizo yake umemkimbia anaweza kufikiria kufanya kitu kibaya na kuona hastaili kuwa katika jamii...........kumbuka kitendo alichofanyiwa na babake huyo ni chakinyama............uwe msaada kwake wa kumwondela machungu/huzuni aliyonayo