political Engineer 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 296
- 794
Kwa nini ulie hata kama umechakachuliwa badala ya kuleta mashitaka mbele ya umma.
BMK halikumtendea haki ila nashauri hata baada ya hatua kuchukuliwa huyu jamaa hasipewe tena nafasi hii.awezi hata kueleza mpaka mbatia aongee badala yake.amenisababisha kujenga mashaka juu yake.ngoja nisubiri majibu kutoka kwa msemaji wa BMK