Alia hadharani hakupiga kura ya Ndio katika Katiba

Alia hadharani hakupiga kura ya Ndio katika Katiba

Mtamuitaje majina hayo wakati hakuhudhuria vikao toka UKAWA wasisie BMK? Kaapa chini ya kiapo kuwa hajapiga kura ninyi unauhakika gani alipiga?
 
Sasa hapa tutabaki na malumbano ya hoja cha msingi uliopitishwa ni utapeli, rushwa, ulaghai na Rais anastahili kujiuzulu
 
JHakujua majina ya walioipiga kura yangewekwa hadharani. amaa kabanwa na Mwenyekiti wa chama chake amepata hofu ya kupoteza wadhifa wake, kakimbizwa ICU
 
Kidumu chama cha mapinduzi.Ngoma bado mbichi hii.Wizi na uchakachuaji unaanza kuwatokea puani
 
Tutasikia mengi ngojeni kidogo hakuna marefu.............
 
Hakuwahi kushiriki kikao chochote cha BMK. Kwahiyo asingeweza kupiga kura either ya Siri au Wazi.
Asituletee bangi zake mjadala wa katiba umeisha tunasubiri kupiga kula ya hapana mengine bangi tu.
 
Ndugu Ambar kukanusha kwake ni aibu kwa Taifa hili,kwa njia yoyote waliyotumia kama ni kwa kumlaghai, kwa ahadi hewa ama kwa cash kwa njia yoyote hatua ilipofikia rasimu ya 6 ni batili
 
Uchakachuaji huo, ulimwengu mzima unajua kilichofanyika dodoma ni uchakachuaji.
 
Sitta kaingizwa mkenge na wapambe wa lowassa ili kumaliza kisiasa bila yeye kujijua sasa amekwishaaa wanamlipizia kwakua richmond aliruhusu bungeni
 
Back
Top Bottom