Alia hadharani hakupiga kura ya Ndio katika Katiba

Alia hadharani hakupiga kura ya Ndio katika Katiba

Jamaa alia kwenye vyombo vya habari akilia kuwa hakupiga KURA ya ndio katika kura za kuipitisha Katiba ,ni aliepiga kura ya HAPANA ,ni mjumbe wa bunge hilo la KATIBA kutoka ZANZIBAR .

Ukweli huwa unatabia ya kukawia
 
... Nimechek Itv Nimeona Aliekuwa Mjumbe Wa Bmk Akiangua Kilio Kupinga Uchbkachuaji Aliofanyiwa Na Akina Sita Kwamba Alipiga Kura Ya Kupitisha Iyo Katiba Pendekezwa. Nafatilia Nijue Jina Lake.. Anaiwa Haji Omar Khamis. Ni Makamu Mwenyeki Wa Nccr Mageuzi Zanzibar. Amesisiza Yeye Hakushiriki Kwenye Bmk Na Wala Kujadiri Au Kupiga Kura, Lakini Jina Lake Limeandikwa Kwenye Katiba Pendekezwa Kuwa Ni Miongoni Mwa Wajumbe Walioshiriki Kuipitisha. Nimemuonea Huruma Sana, Maana Amepandwa Na Presha Na Kukimbizwa Hospitali.

Haahaa!
Alikula ya Mbuzi hakujua Madhara yakeee...

Mbona kachelewa hali Pembe zimetoka?
 
Mtamuitaje majina hayo wakati hakuhudhuria vikao toka UKAWA wasisie BMK? Kaapa chini ya kiapo kuwa hajapiga kura ninyi unauhakika gani alipiga?

Angepigaje wakati alikuwa hahudhurii vikao? Sidhani mtu mzima angeweza kulia hadi kuugua. Inawezekana jina liliingia kwa makosa au je inawezekama akawa ni wale Hamadi alisema aliwashawishi?
 
no kwamba yeye ni yule mjumbe aliyekuwa upande wa UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI(UKAWA) na hakuhudhuria kikao chochote baada ya kutokuwa na maridhiano na pia hakupiga kura ya kupitisha rasimu hiyo ya tatu lakini cha kushangaza jina lake 39.HAJI AMBAR KHAMIS limeandikwa katika majina yale ya wajumbe walioipigia rasimu hiyo kura ya ndiyo.
 
Mkuu mwana CCM mwenzangu. Huyu jamaa hakushiriki vikao. Alitoka na wana ukawa wenzake.
Wapo wengi tu walitoka kwa hofu ya vyama vyao lakini wamepiga kura wasituletee ya kuzua hapa ujue cuf wengi majuha wanaogopana kweli hata uhuru hawana maalimu akisema kitu yote kimya jamaa kapiga kura sasa anawaza atajiepusha vipi.
 
Asituletee bangi zake mjadala wa katiba umeisha tunasubiri kupiga kula ya hapana mengine bangi tu.

Kweli katiba ya chama ni kimeo. Hadi simiyu yetu haikubali na kuahidi kuipigia kura ya hapana!
 
Hii ni aina ya vinyonga wa nchi hii, huyu kama anawaogopa viongozi wake kiasi hiki familia yake anaiweza kweli?
 
Siri zote zaIntarahamwe ndani ya BMK zitajulikana kabla ya mwaka huu kuisha…Kaanza Hamad na sasa hivi tunasikia kuwa afisa wa Ubalozi wa huko Saudi Arabia kafukuzwa kazi baada ya kuandikia ukweli BMK kuwa walioenda Makka wasingeweza kupiga kura na hawakupiga KURA sababu walikuwa bize ktk kuhiji….Sasa Sitta alipataje mshipa wakutudanganya sisi kuwa waliokuwa Makka walipiga kura ya NDIOO….YALIYO KUWA CHINI YA UVUNGO WA KITANDA TUTAYAJUA YOTE !!!!
 
Katiba iliyopitishwa kiuchakachuaji hiyo! Kwa kweli kina sitta na mafisadi wenzake wameaibika.
 
Ukweli huwa unatabia ya kukawia

Huo ni ukweli au usaliti? nani mwenye uhakika wa machozi hayo yanaashria nini? inawezekana analia kwa sababu ya aibu ya kugundulika kuwa ni msaliti.
 
Back
Top Bottom