Ali Mayai Tembele, Mtemi Ramadhani warudisha fomu urais TFF

Frank Wanjiru anampenda Malinzi kama Cocochanel anavyompenda Makonda. Hawa watu wana mahaba mazito kwa watu wao. Wana hiyari wakurupuke hata usiku wa manane humu wawatetee watu wapenzi wao.
Kuna kosa gani, Malinzi needs another term to bring into reality his ambitions to advance soccer! He has done a great job!
 
Sikiliza EFm kesho wanaeleza wasifu wa wagombea urais
Usidhani kila mtu yupo TZ au ana access ya hiyo Efm na pia hutakuwa hutendi haki kama unabishana kwa hoja na wenzako badala ya kuwajibu hapa hapa wewe unawaambia waende kupata majibu ya maswali yao sehemu nyingine.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Sikiliza EFm kesho wanaeleza wasifu wa wagombea urais
Mayai amewahi kuongoza wapi unasahau kuwa kucheza mpira ni tofauti na kuongoza. Kuna kitu kinaitwa tacit knowledge, unaweza kufundisha namna ya kucheza mpira lakini wewe mwalimu huwezi kucheza kama unavyofundisha. Mayay kucheza mpira lakini si warrant ya kujua kuongoza chama cha Mpira... something of that nature
 
Usidhani kila mtu yupo TZ au ana access ya hiyo Efm na pia hutakuwa hutendi haki kama unabishana kwa hoja na wenzako badala ya kuwajibu hapa hapa wewe unawaambia waende kupata majibu ya maswali yao sehemu nyingine.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Ni ajabu mkenya wa kibera anapokuwa na uchungu na soka la Tanzania

Hapa Ally mayai tu
 
Back
Top Bottom