Ali Mayai Tembele, Mtemi Ramadhani warudisha fomu urais TFF

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
ali.jpg

Ally Mayay anayewania Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), amerejesha fomu.
Nahodha huyo wa zamani wa Yanga amerejesha fomu leo baada ya kuwa amechukua hiyo jana.

Pamoja na Mayay, mkongwe Mtemi Ramadhani naye amerejesha fomu ya kuwania nafasi ya umakamu wa TFF.

Mtemi, mmoja wa washambulizi hatari wa Simba enzi zake, aliambatana na Mayay kurejesha fomu hizo kama ambavyo walifanya jana wakati wakienda kuchukua fomu hizo.

Chanzo: Salehe Jembe
 
Anamkubali endapo atakua Rais wa TFF ... au wewe ulitaka lipi katika mambo anayo mkubali mbali ya hili lililotengeneza uzi huu ili akufafanulie ...

Maswali mengine bana ya kibwege kweli Hovyoooooo!!! Mcshwiszsszszszszzzz
Tuwekeeni CV yake basi hapa porojo nyingi hatutaki. Hata Michel Platin alikuwa mchezaji hodari uwanjani lakini lilipokuwa swala la uongozi wa chama cha mpira/UEFA lilimshinda na akatia aibu kubwa sana.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Frank Wanjiru anampenda Malinzi kama Cocochanel anavyompenda Makonda. Hawa watu wana mahaba mazito kwa watu wao. Wana hiyari wakurupuke hata usiku wa manane humu wawatetee watu wapenzi wao.
Kama wewe unavyompenda Mayay kuliko unavyompenda Mkeo na vile vile unamchukia Malinzi kuliko unavyomchukia Shetani.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom