Ali Kiba mvumo wa radi kupitwa views na iyena ya Diamond.. ni aibu kwa management

Huu wimbo wa kiganga eti mvumo wa radi hahahaha hapo management una waonea tuuu...
Wimbo mbaya ulibuma kabisa kabisa...
Wimbo mbovu kabisa...
 
Huo wimbo ni mzuri kwa Ruge na clouds, no more. Kiba ni kadagaa mchele kwa Mond
Kiba alisema mvumo wa radi ni wimbo kwa ajili ya promosheni ya kinywaji chake Mofaya..hata Sony music hawajausika...sasa wimbo wa diamond Karanga ulipata views ngapi?????
 
Kiba kakosa mbeleko ya wcb ndio maana views zimepoa plus wimbo hauja bamba.

Diamond aachwe kufananishwa na watu wengine.

Mkuu sema hivi diamond aachwe kufananishwa na wajinga wajinga
 
Management haitafuti views, ubora wa wimbo ndio utakaokupa views (Sote tunafahamu hili). Vilevile tukumbuke tu kwamba wimbo wa Alikiba uliwahi simamishiwa zile views zake. Japo sijui kama walifanikiwa kuzirudisha au laah.

Mkuu zile viewers zilizo tolewa ni za WIZI haziwezi kurudishwa OVA
 
Mimi sio mshabiki wa hawa madogo. Ila samtaimz nayasikiliza manyimbo yao. Nimegundua Dayamondi ana manyimbo meeengi na Alikiba na tunyimbo tuchaaaache.

Nashindwa kuelewa kwanini hawa madogo wanalinganishwa.

Hawana sababu yoyote ile ya kulinganishwa au kufananishwa maana wako mafungu mawili tofauti kabisa .

Kibaboy ni entertainer wakati dayaboy ni business oriented...

Kwa mustakabali huu.. Kiba atasubiri sana linapokuja swala la muziki wa kibiashara... wakati huohuo akae akijua Dayamondi sio level yake kwenye umaarufu.

Na wakati huohuo Dayamondi akae akijua kibaboy akiamka akaamua afanye yale anayoyafanya yeye... Dayamond atasubiri miaka 800.

Nimeandika mimi babu kwa ajili ya wajukuu zangu.

Ngoja nimalizie matikiti yangu
 
Si kwa kiki hizi tunazoshuhudia kutoka familia nzima ya wasafi ukianza na Dr. mama Dai, Dada Dai, Mzazi mwenza wa Dai, mchepuko wa Dai, meneja wa Dai, watoto wa wasafi... Lazima views zipande.
 
Unajua nini babu! Alikibanio hana akili hio hapo alipo ndio akili yake ilipoishia. so hawez amka tena.

Ila sjawahi amini kuwa ww ni kababu,
 
Habari wadau..

Mimi mshabiki wa sanaa nimeshangaa sana mvumo wa radi kutoka almost a month sasa ina views 2.5m na hapo hapo iyena imetoka 4 days ago ina 2.6m.

Management ya king wanakosea wapi maana walishinda redioni siku nzima na tv huku wenzao wametengeneza drama tu za mawifi na wakwe

Nini tatizo ni management ya king au ubunifu wa madale
kibakuli anabebwa na media power,na haters wa mondi bt now katoa mashudu.
PhotoGrid_1528339892028.jpg
 
Si kwa kiki hizi tunazoshuhudia kutoka familia nzima ya wasafi ukianza na Dr. mama Dai, Dada Dai, Mzazi mwenza wa Dai, mchepuko wa Dai, meneja wa Dai, watoto wa wasafi... Lazima views zipande.
Hata ningekuwa mm ndo alikiba kama kupata views wengi ni kwa gharama ya kudhalilisha na kuumiza watu kisa nipate kiki, hell no wacha nibaki na mashabiki zangu genuine wananitosha.
Sometimes cha halali kina thamani kuliko cha kuforce kwa kik za kishamba
 
Kushinda masaa 18 kwenye Redio/TV ni halali ee? Wakati wasanii wengine wazuri tu wanalilia promo hata ya dakika 20 hawaipati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom