The Ideologist
JF-Expert Member
- Nov 11, 2012
- 501
- 288
Namkubali Alikiba ni mtunzi mzuri ni mwimbaji mzuri na ana sauti nzuri sana, ila video zake mara nyingi haziendani na anachoimba.
Ukiangalia hii video yake haileti hamasa ya kuendelea kuiangalia, haivutii na haina udadisi.
Hii ngoma itasumbua sana duniani..maana ndo muziki unaopendwa kwa sasa!!Napenda nyimbo za mahadhi electronic. Nyimbo nzuri
Kazi anayo kwa kweli, anaimba kaswida ama ni nini?Mr coming soon....
Wacha Maneno ya uchochezi mkuuHusen Machozi kuja hapa, kiba kakopi "Im addicted".
Ha ha ha ha haHusen Machozi kuja hapa, kiba kakopi "Im addicted".
CcGood music
Ngoma nzuri but kama inataka kufanana na ngoma ya Hussein machozi am addictedNgoma imevuja kwenye hii link-(MyNotjustok - Download Track) by the way nime-upload kuipata hapa jamii forum enjoy.......