Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 875
Mumeo ana shida sanaKawaida ya waafrika kujikweza wakati uwezo mdooogooo fuull kubebwa na bifu
Hayo ni mawazo yako tu. Mbona Mr nice alifanikiwa. Je, walimfananisha na nani ili kumnunisha?Kiba yuko overrated sana, sio msanii mzuri kivile, wa kawaida sana. Ana bahati watanzania wengi tuna chuki na mafanikio ya mtu mwingine, ashukuru Mungu Diamond anafanikiwa sana kimuziki na sisi watanzania hatupendi mtu afanikiwe hivyo tunamsifia ili tu kumnunisha Diamond kwa sababu ya mafanikio yake.
Diamond tatizo anatukana sana watu mitandaoni.........yaani uwaite watu vinuka chupi halafu hao hao ukitoa mwimbo unataka wakusapoti?....anguko lake limeshafikaKiba yuko overrated sana, sio msanii mzuri kivile, wa kawaida sana. Ana bahati watanzania wengi tuna chuki na mafanikio ya mtu mwingine, ashukuru Mungu Diamond anafanikiwa sana kimuziki na sisi watanzania hatupendi mtu afanikiwe hivyo tunamsifia ili tu kumnunisha Diamond kwa sababu ya mafanikio yake.
Kawaida ya waafrika kujikweza wakati uwezo mdooogooo fuull kubebwa na bifu
Kama alipandishwa na wanuka chupi basi watamshusha............................. Hivi inakuaje mtu unavaa chupi hadi inanuka mkojo?? si ufue chupi yako isinuke mkojoDiamond tatizo anatukana sana watu mitandaoni.........yaani uwaite watu vinuka chupi halafu hao hao ukitoa mwimbo unataka wakusapoti?....anguko lake limeshafika
Dogo aslay yupo viZuri mno basi tuHayo ni mawazo yako tu. Mbona Mr nice alifanikiwa. Je, walimfananisha na nani ili kumnunisha?
By the way, kwenye interview yake hajazungumzia kuhusu mond. Ntie ndo msiopenda mwingine afanikiwe zaidi ya mond
Yaani mnataka mond tu ndo awe mfanikiwaji.
Ningekuona unaakili kama ungekua mshabiki wa christian Bella au rama dee au dogo aslay. Maana hawa naviona vipaji ndani yao..
Hicho ulichoandika wewe, kinaakisi kuwa upo team gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Anagonga 2M ila Mange ni balaaa!!!Amehit viewer 1.9m mpaka sasa....
Sio kweli kwamba watanzania hatupendi kuona mtu anafanikiwa lahasha. Kinachokwaza kwa wasanii wetu ni akifanikiwa kidogo matako hulia mbwata na kujiona ye ndio yeye ndio mana waliompandisha wanafanya juhudi zote kumshusha . Huyo msanii wako mwambie ajifunze kua humbled kila mtu atamkubali mbona anajua sana kuimba.Kiba yuko overrated sana, sio msanii mzuri kivile, wa kawaida sana. Ana bahati watanzania wengi tuna chuki na mafanikio ya mtu mwingine, ashukuru Mungu Diamond anafanikiwa sana kimuziki na sisi watanzania hatupendi mtu afanikiwe hivyo tunamsifia ili tu kumnunisha Diamond kwa sababu ya mafanikio yake.
ThankxxxHayo ni mawazo yako tu. Mbona Mr nice alifanikiwa. Je, walimfananisha na nani ili kumnunisha?
By the way, kwenye interview yake hajazungumzia kuhusu mond. Ntie ndo msiopenda mwingine afanikiwe zaidi ya mond
Yaani mnataka mond tu ndo awe mfanikiwaji.
Ningekuona unaakili kama ungekua mshabiki wa christian Bella au rama dee au dogo aslay. Maana hawa naviona vipaji ndani yao..
Hicho ulichoandika wewe, kinaakisi kuwa upo team gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli... maana si kwa kampeni ileAnagonga 2M ila Mange ni balaaa!!!
Sio kwa Pande lile alilompigiaa!!
Mange ana60%ya hiloo!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio hao hao wamemshusha na wamempandisha Kiba avumilie tu mbona mr.nice ameshuka lakini maisha yanaendelea hata yeye atazoea tuKama alipandishwa na wanuka chupi basi watamshusha.............................
Halafu watu hawamfatiliii anajitahd kutafuta kwa kickKwa kweli... maana si kwa kampeni ile
Halafu Too bad nasikia Domo katapika insta itazidi kumpoteza
Siku zote nasema nyie timu malkia mna mnazingua.Kawaida ya waafrika kujikweza wakati uwezo mdooogooo fuull kubebwa na bifu
Daaah kwa hiyo mashabiki wa Kiba ni wanuka chupi?? au sijakuelewandio hao hao wamemshusha na wamempandisha Kiba avumilie tu mbona mr.nice ameshuka lakini maisha yanaendelea hata yeye atazoea tu