Ali Kiba Fans' Special Thread...

BansenBurner 👌👌👌👌haloooooo mchambe huyo nifah kumbe hakujui wew ni baba wa michambo eee?
Hakikisha unamlisha na ndimu za kutosha 👌👌👌👌👌 nifah jipange huyu dume jike anachamba balaaaa. Anasutaa adi anavua nguo
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa kwani ni uongo huwekagi hivi?👌👌👌👌👌👌👌haloooooooooomtanyooookaa tuuu?
Ule mchapio sijamaind maaana sijasoma bado nangoja ile michango yenu ya ada mimi na Diva Beyonce tuende shule.
Haloooooooo

Cjawah eka never ever"
Michango ya ada ombea PM just holla.. Elimu kwanza
 
Last edited by a moderator:
BansenBurner 👌👌👌👌haloooooo mchambe huyo nifah kumbe hakujui wew ni baba wa michambo eee?
Hakikisha unamlisha na ndimu za kutosha 👌👌👌👌👌 nifah jipange huyu dume jike anachamba balaaaa. Anasutaa adi anavua nguo

Tuheshimiane madam
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa kwani ni uongo huwekagi hivi?👌👌👌👌👌👌👌haloooooooooomtanyooookaa tuuu?
Ule mchapio sijamaind maaana sijasoma bado nangoja ile michango yenu ya ada mimi na Diva Beyonce tuende shule.
Haloooooooo
Dume zima hvo kujishau tu kumbe hana mbele wala nyuma #DadaBeseni acha hzo Tabia za kujilegeza ka mlenda ulio chacha.
Michango ya ada watutolee wakati wenyewe wamekimbia umande
 
Last edited by a moderator:
BansenBurner 👌👌👌👌haloooooo mchambe huyo nifah kumbe hakujui wew ni baba wa michambo eee?
Hakikisha unamlisha na ndimu za kutosha 👌👌👌👌👌 nifah jipange huyu dume jike anachamba balaaaa. Anasutaa adi anavua nguo
Shoga ninachambwaje sasa? Uwiiii...
Naona hivi vichambo ni type ya manzese, tandale, tandika na temeke au mwananyamala huko....
Maana ni balaa!
Nilikua sijui kama #DadaBeseni anajua kuchamba hivi, bora tu leo nimejionea na kuanzia sasa 'nitamheshimu' maana sio kwa vichambo hivi!
 
Last edited by a moderator:
Nenda zako huna umeishiwa naona. Unanipangia pakuchangia we vp ww. Siasa niko huku niko Jukwaa la Kenya niko everywea napoona panafaa kuchangia. Tukiwaacha wenyewe wanawake humu c mtajihisi kama wajane. Umeishiwa ww
I lov music dat Y niko huku na Kiba ni 1of the best musician

Niende wapi tena #DadaBeseni ? Wewe si umejidai kusema real men wakifanyiwa personal attack wana calm down? Sasa mbona wewe bado unasasambua? Ndio ukiri tu hadharani kua wewe ni choko acha kujificha ficha.

Halooooo vichambo vimekolea hadi jitu limejikuta linaropoka kua Kiba ni one of the best musicians!
Tokea lini ukamkubali Kiba wewe? Pooza koo basi kwa maji baridi hapo maana naona unatetemeka ukiona notification ya quote yangu....
Hahahahahaa
 
Hahah 1of the best imekaa kimapana sana ila akili ndogo kama ww huwez kuelewa.
 
Acha unafiki na ukuda wewe ni timu #ChaiJaba hapa unajishau huna timu kiunafiki tu kama hawashabikii kilichokuleta huku nini wewe vepeeeee eti tungejua we nani hahaaaaasssas what the hell do u think ua. We don't need hypocritical advice. Eeeeeh kiba tutamsifia sana tu #WhetherYouLikeOrNot eeeeeh ndo hvo tena sasa no way.

Eeee na wewe Diva Beyonce leo umenitusi basi sawa
naishia hapa
manaake ntaendelea kuandika kipi asa kama Diva umeshaamua iwe hivyo!
 
Last edited by a moderator:
Yah ni mmoja kat ya wanamuziki wazur Y not tatzo hamjiamini.. 1 among others kwaio kuna wasanii wengi wazur think outside the box. Kuwa kati ya hakumuweki namba 1 to me anaweza akawaha hata 10 huko.
Kwendraaaaaa, huku tunakuita kujitetea baada ya kuteleza.
Sasa utetezi huu wa kijinga wa kuwadanganyia watoto ndio unaniletea mie?
Ninachokijua umekiri kua #KibaIsOneOfTheBestMusicians ....
Ova
 
Shoga ninachambwaje sasa? Uwiiii...
Naona hivi vichambo ni type ya manzese, tandale, tandika na temeke au mwananyamala huko....
Maana ni balaa!
Nilikua sijui kama #DadaBeseni anajua kuchamba hivi, bora tu leo nimejionea na kuanzia sasa 'nitamheshimu' maana sio kwa vichambo hivi!

Hahahaaaaahaaaa dadabesen ni noma.
Mimi si unaona nimefyataa mkia.
👌👌👌👌 atusamehe tuu hawezi kutuchamba hivyo.
 
Ujinga ni upi hapo? Nisicheke kama kitu kimenifurahisha? Cna family am stl vry young ... smartphone iandike feedback badala ya playback kuanzia lini labda hujui words predictions hw it work kwenye keyboard naww.

views=viewers✅
Auu? Nifundishe #dadabeseni mimi shule sijaenda nangoja mchango ila natafuta kampani
 
Attachments

  • 1437916538073.jpg
    1437916538073.jpg
    36.2 KB · Views: 73
Back
Top Bottom