Ali Kiba Fans' Special Thread...

Na
Shoga nimeshashtuka hilo li video ni libovu au li audio ndio maana analazimisha hivyo.
Ingekua nzuri wala asingehangaika...
Hamna jipya hapo zote mbovu as usual sauti anayoimbia ka kakabwa kooni. Sijui nani alimdaganya Ku release na wasanii ndo mziki. I can't waste my time aisee watching
Shoga nimeshashtuka hilo li video ni libovu au li audio ndio maana analazimisha hivyo.
Ingekua nzuri wala asingehangaika...
Na utakua mbovu tu style ile ya kucheza nothing new.
 
habari zilizofika hivi punde Ali Kiba amekuwa nominated kwenye tuzo za Afrima.. Tumpigie kura.
 
#KakaSketi naona vichambo vimemzidia hadi kakimbia...
Hahaha alikua anajifaragua hapa na aje tena basi.
Mwenzangu jana nilishangaa kuona anamuambia mwanaume mwenzie kam miss, maana tokea mwanzo nilikua namuona #KishetiChaMombasa ila nikawa sina uhakika.
Jana baada ya kuona vile ndio nikathibisha kua ni #KakaSketi kweli!
 

Hawa wachambeni mpaka waje na mawazo ya kuua uteam Kiba na uteam dai

Kama yule mwenzao alichezea kichambo heavy kutoka kwa cute b sijamuona tena kuja humu na amenyooka siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…