close this one will b better than discussing with stu.pid fans who wants every one to love a certain artist (close will be better) kingkiba 4realy

Mkuu kwani walipomzomea diamond kipindi kile walikuwa na maana gani???? Sisi tulikuwa wapole mnoo until then mlitupanda kichwani ndio maana the situation is the way it is...
Relax mkuu, soon you will hear the voice with Authority in here.
yani mkuu huu ni ujinga huu haki ya mungu hata katiba hairuhusu yani hawa jamaaa sio insta sio jf wao ni ugomvi et sote tumpende dai not possible
we jamaa acha unafiki mumeanzisha mada ya tuzo za dai page 3 zote mnamzungumzia kiba y while is local artist like best naso as u hve said
wanajiona wao ndo kila kitu kumbe chenga tu.
mkuu hii sio fair kabisaaa yani
kuzungumziwa sio shida tatizo anazungumziwa vipi??? anyways ni ushabiki tu DON'T TAKE IT SERIOUS
mi sipo serious ila mnatutafutia ban cc tukiwajibu huu ni ushabiki tuu mbona nyie hamuathiriki na hili la ban
Basi sawa mkuu.. kwa heshima niliyonayo kwa king Nasepa.. Usiku mwema wadau, appologies to all niliowakwaza.. Inshallah tuamke wazima wa afya keshi na tusiwe na mikwaruzano yeyote..
ONE LOVE
Kwa akili yako unadhani wote hapa tupo Tanzania muda huu?
Basi sawa mkuu.. kwa heshima niliyonayo kwa king Nasepa.. Usiku mwema wadau, appologies to all niliowakwaza.. Inshallah tuamke wazima wa afya keshi na tusiwe na mikwaruzano yeyote..
ONE LOVE
Unafiki gonjwa baya sana.
Unamalizia kabisa na inshallah!!