Jamani mna kesi ya kujibu huko nje, mbona mnajifungia huku.
Tarehe 29
Nashukuru mamy umeliona ilo. Yaan wakilala cute b wakiamka cute b wakibadilisha id wakafungua nyuz ni cute b wakichora katun ni cute b. Ukiwauliza wanasema hawanijui lakini bado cute b ipo kichwani mwao.
Sijui wana matatizo gani hawa watu. Ina maana jf nzima wameniona mimi tuu? Eti libabu lizima linakaa chini linaacha kufanya mambo ya maana linakaa ku dezain katun ya cute b...
Ni ukosefu wa akili na maarifaa.
Kuna niniii??
Kesi gani? Nje wapi? Kesi ya nani sasa, kwani kuna mtu ameibiwa tuzo? Au kuna watu ulevi wa kilimanjaro tangu siku ya tuzo adi leo upo kichwani.
Basi waambie wasigombane ovyo tuzo haikuwa bahati yao waache kulia lia mimi nipo bize sitaweza kufika huko kwenye kesi kwa leo.
NA UACHE USHANKUPE. Mtu mzima hovyooo
Watakuwa wana kuadmire.
Wewe ni mzungu?
Watakuwa wana kuadmire.
Wewe ni mzungu?
Morning !!!
Mi Nina wasiwasi huyo ni mwarabu
Teh teh!
Hahahaaa mzungu wapii dia.
Ila sio mbaya mimi ni rolmodal wao
Itakua siku gani ?
MorningMorning !!!
Mi Nina wasiwasi huyo ni mwarabu
Teh teh!
Morning
Hahahaaa huyo kwenye avatar ndio mimi
Labda ndio ww !teh
On Monday nilichockia kua kichupa kitakua out
Kipi sasa mkuu chekecha au iyo collabo
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=873254
Ali Kiba ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi
Msijifanye hamuonii