Ngoja nikujibu mrembo
King'asti kwa niaba ya wenzio woooote wanaouliza hilo swali...
Hivi wakati Ali Kiba ana hit na cinderella,nakshi nakshi,dushelele n.k alitegemea anguko la nani?alitoka kivyake tena bila hata ya kutegemea skendo tulimjua na kumpenda sana...sasa iweje leo ategemee 'anguko' la diamond?kwa hiyo sasa mtu asitoe wimbo wake kisa kuna diamond?wenyewe wala hawataki ugomvi ni sisi mashabiki tu ndio tunaochochea
Ulitizama show yake kwa sporah?alisema amepambanishwa na watu wengi sana sio Kiba tu....iweje mumng'ang'anie yeye tu?tuache kazi zao ziongee jamani...aliyekua bora atajulikana kwa kazi zake...