Ali Kiba Fans' Special Thread...

Big up cute b ...hakika wewe ni ripota mzuri.
Umbea tuachie mama wewe ni ripota. ..lol
Japo ripota hakuna tofauti na sisi wambea.
 
Last edited by a moderator:
Hivi jamani huyu mpuuzi gigy money kwenye hii Friday night live ya EATV mnamuona anavyokera au ni mimi tu?
Hashuo tu hata hawezi kuhost kipindi wala nini.
 
Hivi jamani huyu mpuuzi gigy money kwenye hii Friday night live ya EATV mnamuona anavyokera au ni mimi tu?
Hashuo tu hata hawezi kuhost kipindi wala nini.

Kumbe na wewe umemwona kaniboaje sasa. Mfyuuu hajui kuuliza maswali kavaa mbano mwili hauendani na NY...... Zake na minywele mi hadi nimeacha kuangalia. Hivi ndo mtangazaji au?
 
Kiba yupo wapi jamaniiiiiiii nimchumuuuuuu mbona kapokelewaa? nifah taarifa plzzz
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…