Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
wazawa kiba kakuchekecha bado unataka tukucheketue?Akiwa amejisifu kuwa alipumzika nje takribani miaka mitatu huku akiwa tayari ashafika level za international ikiwemo kile anakisifia sana kufanya Kolabo na R. Kelly (One8), bado amerudi ki-underground tena local kwa nyimbo zake na aina ya Tour anayoifanya Chekecha Tour na kama anajitambulisha tena nchi nzima na sio kwenda mbele zaidi pale alipopacha miaka mitatu nyuma!
Wazee wa kununuliwa Tecno utawajua tu.
Kimataifa kote huko mkuu mbona unaruka sylabus, aaah acha utani basi, anza kwanza kuuliza tuzo ndani ya Tanzania.
Achana na mambo ya historia...
Hivi Kiba na Rich Mavoko nani mkali?
Asante
nani zaidi ya redio one ya taifa la tanzania
wewe mwenyewe ni zombie usiyejitambua, shabiki wa kiba au daimondo asiyetaka kubali ukweli au facts ni zombie tu.Mazombie ni wale wote wanaoropokwa na kuweweseka Kisa kiba anafanya yake! Why so much energy on suppressing him! Mxiiiuew
embu weka link na kapicha, na maelezo hiyo ni tuzo level gani za kimataifa ambaye msanii wetu nguli Ali Kiba aliwahi kuibeba.beffta award
embu weka link na kapicha, na maelezo hiyo ni tuzo level gani za kimataifa ambaye msanii wetu nguli Ali Kiba aliwahi kuibeba.
wewe mwenyewe ni zombie usiyejitambua, shabiki wa kiba au daimondo asiyetaka kubali ukweli au facts ni zombie tu.
kiba zamani alikuwa anaimba vizuri sana.ukitaka umlinganishe na kiba wa leo sikiliza "mapenzi yana run dunia" na mwana dsm"utagundua kuwa kuna kiba wa zamani as king of vocal na kiba wa leo as underground
mwee Ali Kiba kachukua tuzo ya kipindi cha nani zaid ya radio one tu??!
wewe mwenyewe ni zombie usiyejitambua, shabiki wa kiba au daimondo asiyetaka kubali ukweli au facts ni zombie tu.
hahahahahahahaaaaaa
Jichekeshe....!