Ohoooo!!!huyu akili zake haziko sawa-sawa
kwa ajili ya wagonjwa walikuwa wanayapigia kelele bungen mda mrefu wapeweHivi tumefikia huku??
Ukiangalia michango ya Kessy na Mayenga bunge hili la bajeti utaelewa.......
Swali linabaki. KWANINI WAMEPEWA WABUNGE HAO WA3?
Hao wagonjwa wako kwa kessy,mayenga na huyo mwingine tu???kwa ajili ya wagonjwa walikuwa wanayapigia kelele bungen mda mrefu wapewe
Watakuwa waliomba ndio maana wamepewa na wewe ukiomba utapewaHivi tumefikia huku??
Ukiangalia michango ya Kessy na Mayenga bunge hili la bajeti utaelewa.......
Swali linabaki. KWANINI WAMEPEWA WABUNGE HAO WA3?
huyu akili zake haziko sawa-sawa
INAWEZEKANA ANA KIMPIRAMsuruali wa Mh. Kessy Kama gunia la Machine ya kusagia Nafaka!
..KWANINI WAMEPEWA WABUNGE HAO WA3?
Hao wagonjwa wako kwa kessy,mayenga na huyo mwingine tu???
Nimemsikiliza kessy akimponda roma na kumsifia mkuu
Lucy mayenga naye hivo hivo
Je hii ni reward? Kuwaonesha MPs wengine wa chama kuwa ukitaka matatizo ya jimbo lako yawekwe kwenye "fast track" fanya kama hawa???
Ni mawazo yangu tu
HAWA NDO WALIKUWA WANATAKA BOMBERDIA ZIANDIKWE HAPA KAZI TU WAKATI NI PESA ZA WATANZANIA NA RAISI NI WA CCM HEEE utadhani ametoa yeye pesa mifukoni mwakeInaelekea mkulu ana pesa nyingi au mleta mada umekosea, ulipaswa kuandika 'aliyopewa na serikali'!?