he was the best president ever of tanzania
And the founder of ufisadi in Tanzania.he was the best president ever of tanzania
And the founder of ufisadi in Tanzania.
that can be arguable.....hata nyerere anaweza kuwa guilty kwa hilo...
he was the best president ever of tanzania
Even this can be arguable.....
Mzee wa ruksa alitufumbua macho watanzania,uchumi huria,mikocheni,mbezi,tegeta,sinza,tabata zilijengwa kipindi chake.tv,simu za mikononi,nguo,viatu,barabara haswa za kkoo,utalii kwa kujengwa hotel nyingi.shule nyingi za english medium!tatizo hapa jf hatasifiwa kisa alikua muislam,angekua mkristo sifa kede kede

Mwinyi ndio alikuwa Rais mzuri lakini yeye ndio chimbuko la kupotea uadlifu serikali.
Debatable too..
maadili yalikuwa mabovu toka taifa lilipoanza..
Siyo maadili mazuri kunyan'anya mali za watu ...
Ndio itarudi tena 2015, lazima tutaifishe mali za Mafisadi walioliibia Taifa wakitaka wasitake, Hakuna kulindana. Watch out 2015 Watanzania wanachukuwa nchi yao na Mafisadi lazima tuwatie ndani hata mkikimbia, We will find you
Sorry,
Huwezi nyan'anya mali ya mtu karne hizi..Mwinyi alishatuamsha kwamba kuna dunia zaidi ya Tanzania ok
Aliweza nyerere kwasababu ya kuwadanganya zama hizo..
Wewe unaweza kuchukua barrick? just try we are watching you
And the founder of ufisadi in Tanzania.
Mbona tayari umemsifia hapa jf??? Ni nani ambaye akimsifia hapa utaridhika? Sababu sijawahi kuona mtu anayesifiwa na kila mtu hapa, lazima wawepo wakosoaji pia.Mzee wa ruksa alitufumbua macho watanzania,uchumi huria,mikocheni,mbezi,tegeta,sinza,tabata zilijengwa kipindi chake.tv,simu za mikononi,nguo,viatu,barabara haswa za kkoo,utalii kwa kujengwa hotel nyingi.shule nyingi za english medium!tatizo hapa jf hatasifiwa kisa alikua muislam,angekua mkristo sifa kede kede