"Ali Hassan Mwinyi" Humble and Wise

Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,174
935
...Mwinyi mwaka 1985 ulipoingia ulikuta BoT kumekauka hakuna hazina ukaanzisha utaratibu wa kununua Gold ili kuwa hazina ya Taifa

...Ulikuta watu wako hawana nguo, vyombo, TV, (maisha ya kijima) ukaruhusu (ruksa) biashara halali watu wenye uwezo wakaanza kufanya biashara taifa likapata neema watu wakaneemeka

...Shule ulikuwa lazima "UCHAGULIWE" ukaruhusu shule binafsi watu wengi tukasoma...kumbe wengi tulikuwa tunafaulu..bana (umeondoa pazia la ujinga na ubaguzi wa ki-elimu

...Wote wanaondika hapa JF ni kazi yako, uliruhusu passport kutolewa siyo kwenda East na West pia..watu tukasafiri tukasoma, tukapata maarifa..

Ali Hassan Mwinyi you are humble and WISE.
 
he was the best president ever of tanzania

Hataki makelele mengi mzee wa watu..

...Ameongeza huduma za jamii na mawasiliano kwa kasi sana tangu aliposhika madaraka only 10 years

...I was just thinking aloud angechukua nchi 1971 tungekuwa wapi?
 
Mzee wa ruksa alitufumbua macho watanzania,uchumi huria,mikocheni,mbezi,tegeta,sinza,tabata zilijengwa kipindi chake.tv,simu za mikononi,nguo,viatu,barabara haswa za kkoo,utalii kwa kujengwa hotel nyingi.shule nyingi za english medium!tatizo hapa jf hatasifiwa kisa alikua muislam,angekua mkristo sifa kede kede
 
mimi ninawasiwasi na hii ID, inawezekana ni MS ndio anyetumia hii ID.
 
Mzee wa ruksa alitufumbua macho watanzania,uchumi huria,mikocheni,mbezi,tegeta,sinza,tabata zilijengwa kipindi chake.tv,simu za mikononi,nguo,viatu,barabara haswa za kkoo,utalii kwa kujengwa hotel nyingi.shule nyingi za english medium!tatizo hapa jf hatasifiwa kisa alikua muislam,angekua mkristo sifa kede kede

Hahitaji sifa za kibanadamu kihivyo...

Msingi wa sera zake na maono yake ...ni unshakable for 30 years now
 
Mwinyi ndio alikuwa Rais mzuri lakini yeye ndio chimbuko la kupotea uadlifu serikali.

Debatable too..

maadili yalikuwa mabovu toka taifa lilipoanza..

Siyo maadili mazuri kunyan'anya mali za watu ...
 
Debatable too..

maadili yalikuwa mabovu toka taifa lilipoanza..

Siyo maadili mazuri kunyan'anya mali za watu ...

Ndio itarudi tena 2015, lazima tutaifishe mali za Mafisadi walioliibia Taifa wakitaka wasitake, Hakuna kulindana. Watch out 2015 Watanzania wanachukuwa nchi yao na Mafisadi lazima tuwatie ndani hata mkikimbia,
We will find you
 
Sorry,

Huwezi nyan'anya mali ya mtu karne hizi..Mwinyi alishatuamsha kwamba kuna dunia zaidi ya Tanzania ok

Aliweza nyerere kwasababu ya kuwadanganya zama hizo..

Wewe unaweza kuchukua barrick? just try we are watching you
 
Subiri tukamate nchi yetu ndio utakapo jua
 
hakika kila kilicho mali ya nchi hii lazima kirudi mikononi mwa wananchi..........2015 is just round the corner........
 
And the founder of ufisadi in Tanzania.

Napenda Mwinyi kwa staili yake ya kuachia kila mtanzania akaneemeka yani kuanzia maskini mpaka tajiri wote walikuwa wanaheshimiana kwa level ya kila mmoja wake sio kama kipindi cha mkapa na sasa kuwa kama unacho basi wewe ni mungu mtu.

Ila ni kipindi ambacho mafisadi hasa wa aina ya [Kihindi,Kiarabu na Baadhi ya Wamatumbi] walianza kujiweka sawa.Ingawa yeye alijitete kuwa Ruksa yake ni sawaa na nyumba na madirisha kuwa ukiwa na nyumba na unataka hewa utafungulia Madilisha ili hewa iingie lakini kupitia kufungulia huko hewa iingie wadudu kama nzi nk pia watatumia nafasi hiyo kuingia.

Cha msingi amwambie mwanae amuige style ya kuepuka shutuma akitumia busara za mzee wake pale anaposhutimiwa kukaa pembeni na kuacha wenye akili zao kumpima kama anafaha kwa baadae kama ilivyokuwa yeye kuliko kungangania mpaka inakuwa kero.
 
Mzee wa ruksa alitufumbua macho watanzania,uchumi huria,mikocheni,mbezi,tegeta,sinza,tabata zilijengwa kipindi chake.tv,simu za mikononi,nguo,viatu,barabara haswa za kkoo,utalii kwa kujengwa hotel nyingi.shule nyingi za english medium!tatizo hapa jf hatasifiwa kisa alikua muislam,angekua mkristo sifa kede kede
Mbona tayari umemsifia hapa jf??? Ni nani ambaye akimsifia hapa utaridhika? Sababu sijawahi kuona mtu anayesifiwa na kila mtu hapa, lazima wawepo wakosoaji pia.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom