L lolowapi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2014 Posts 1,135 Reaction score 490 Mar 24, 2015 #21 korino said: Namsukuru M.mungu kwa kunijaalia kupata kazi Serikali za Mitaa kuleee tanga! Nmesota kias dah from 2011 ndio leo nabahatika! M.mungu awajaalie wale wasipata nao wapate na wale waliopata Mungu awadumishe katika kazi zao! Aamin Click to expand... Mimi avatari tu.
korino said: Namsukuru M.mungu kwa kunijaalia kupata kazi Serikali za Mitaa kuleee tanga! Nmesota kias dah from 2011 ndio leo nabahatika! M.mungu awajaalie wale wasipata nao wapate na wale waliopata Mungu awadumishe katika kazi zao! Aamin Click to expand... Mimi avatari tu.
Afande Nyati JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 2,385 Reaction score 1,414 Mar 24, 2015 #22 korino said: Wazaz nshawazika kitambo! Inshaallh zaka nitatoa..asante Click to expand... Ata kuwafanyia dua nayo ni nzuri.
korino said: Wazaz nshawazika kitambo! Inshaallh zaka nitatoa..asante Click to expand... Ata kuwafanyia dua nayo ni nzuri.
Kayoka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 2,366 Reaction score 2,151 Mar 25, 2015 #23 korino Je uliwahi kutoa au kushawishiwa na kurubuniwa kutoa chochote katika kutafuta na kupat Ajira hii? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
korino Je uliwahi kutoa au kushawishiwa na kurubuniwa kutoa chochote katika kutafuta na kupat Ajira hii?
Kayoka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 2,366 Reaction score 2,151 Mar 25, 2015 #24 korino Je uliwahi kutoa au kushawishiwa na kurubuniwa kutoa chochote katika kutafuta na kupat Ajira hii? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
korino Je uliwahi kutoa au kushawishiwa na kurubuniwa kutoa chochote katika kutafuta na kupat Ajira hii?
ankol JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 2,628 Reaction score 4,970 Mar 25, 2015 #25 korino said: Namsukuru M.mungu kwa kunijaalia kupata kazi Serikali za Mitaa kuleee tanga! Nmesota kias dah from 2011 ndio leo nabahatika! M.mungu awajaalie wale wasipata nao wapate na wale waliopata Mungu awadumishe katika kazi zao! Aamin Click to expand... Mejikuta nimefurahi tu ulivyopata kazi. Hongera mdada.
korino said: Namsukuru M.mungu kwa kunijaalia kupata kazi Serikali za Mitaa kuleee tanga! Nmesota kias dah from 2011 ndio leo nabahatika! M.mungu awajaalie wale wasipata nao wapate na wale waliopata Mungu awadumishe katika kazi zao! Aamin Click to expand... Mejikuta nimefurahi tu ulivyopata kazi. Hongera mdada.
chukuachako JF-Expert Member Joined Nov 13, 2014 Posts 1,260 Reaction score 870 Mar 25, 2015 #26 Amina hobngera sana
kikulacho... JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 321 Reaction score 224 Mar 25, 2015 #27 Hongera sana
M mamwa Member Joined Mar 25, 2015 Posts 46 Reaction score 12 Mar 26, 2015 #28 hongera sana, mvumilivu hula mbivu, ndo mbivu zenyewe hizo
B BOWTHRUSTER JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 397 Reaction score 174 Mar 26, 2015 #29 Hongera kwa kupata kazi,ila usiache kufanya kwa bidii.